Issa SLuu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 2,303
- 1,804
Huo muda wenyewe wa kuswali au kuswalisha anao, kutwa yupo Lumumba na kwa RcKwani wana katiba kama NGO au wao wanafuata ILANI kama wenzao?!
Sijui anaswalisha msikiti gani?!
Huo muda wenyewe wa kuswali au kuswalisha anao, kutwa yupo Lumumba na kwa RcKwani wana katiba kama NGO au wao wanafuata ILANI kama wenzao?!
Sijui anaswalisha msikiti gani?!
Kwa hiyo siku hizi chadema mna kazi ya kuukashifu uislamu na ccm?Bakwata halina shaka ni tawi la ccm,kazi yake kubwa ni kusubiri kondoo wa makka kwa ajili ya supu tu.
Unahoji kama nani? Umetoa shahada?Sheikh wa mkoa yuko Dar pekee?! Yeye ahami, habadirishwi au naye cheo chake ni mpaka afe kama yule sheikh mkuu wa bakwata?!
Huyu alichaguliwa au aliteuliwa?!
Wa wilaya nani?!
kuna siku utajuta na kusaga meno kwa huu uzushi kisa siasa.AKIJICHANGAYA TU SIKU KUSWALISHA AJUE KANIPA KESI COZ LAZIMA NIMTOE HALAFU NIMPASUE.TULIOSOMA KINONDONI MUSLIM SHULE YA BAKWATA O LEVEL TUNAMJUA TENA UCHAFU WAKE WA SASA HIVI UNA AFADHALI MAANA ZAMANI ALIKUA ANALIWA NA WENGINE WALIKUA WAKIMUONA ANASWALISHA WALIKUA WANATOKA WANASWALI PEKE YAO
makafiri mmeumia sana kuliko waislamu wenyewe.Bakwata sawa na vyama vyingi km chama wa waalimu, chama cha wafanyakazi, DARUSO(special case), nk. madhumuni yao nikulinda maslahi ya makundi hayo hasa pale serikali inapokuwa haitimizi wajibu wake...ni sawa nakusema hivi vyama in sawa na fimbo wanayoitumia makundi haya(aka wanyonge) kuishinikiza serikali au waajiri wao kulinda maslahi yao, kwa vile serikali nyingi hazipendi kuwajibika sana kwa raia hasa hizi serikali zetu za dunia ya tatu, vyama hivi vimetekwa na serikali kwa kupenyeza watu wao ili kuzishikilia nakuzigeuza kuwa fimbo ya kuwachapa hao hao wanyonge kama wanyonge wa nchi hii wanafikiri hizi vyama ni msingi wakudai maslahi yao wanajidanganya, fikiria mbunge anayepata stahiki zote za kibunge na maslahi mazuri ananunulika vipi kuhusu viongozi wa hivi vyama vyetu?...km tunataka haki zetu lazima tuishinikize serikali wote kwa pamoja hivi vyama tuvisahau
Umekuwa msemaji wa waislamu? hongera na kazi njema.Huyu sheikh hana tofauti na Nabii Tito, waislam walishampuuza. Hakuna haja ya kuhangaika nae.
Akiendelea wewe binafsi unaathirika nini?Ni bora sasa aachie na wengine waongoze Ila Najua wanae wanasoma shule moja ya saint........
Katibu wa Bakwata anafuga kitimoto na mke wake ni mkatoliki.Kwa hiyo siku hizi chadema mna kazi ya kuukashifu uislamu na ccm?
Akiendelea wewe binafsi unaathirika nini?[/QUOTEKwann aendelee kwanini aendelee kwani bakwata ni NGO yake ?
mawazo mbadala ni muhimu ndugu! Wewe huoni umuhimu!?Akiendelea wewe binafsi unaathirika nini?