Kigogo wa CCM mkoani Mara sio raia wa Tanzania

Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara ndugu Gerad Kabuye ambaye Pia hutumia jina la Samuel na a.k.a Namba 3 si Raia wa Tanzania kwa 100% kwa mujibu wa vyanzo vya uhakika toka kwa ukoo wake kule Kenya pamoja na vyanzo vya Gazeti la Jamuhuri vimethibitisha sio Raia wa Tanzania, kwa Habari zaidi endelea kusoma gazeti la upate kujua CCM wanavyojitahidi kuficha Aibu hiyo.

Pia soma >Mwenyekiti CCM Mara: Mafisadi wa trilioni 1.5 wanyongwe
Hebu tuthibitishie na huyu mrundi
 
na DAB?
 
Aisee hv hawa fisiem ni lini wataacha kutanguliza ufisie kwanza na kuwa wazalendo na nchi yao.Huyu jamaa angeweza kutoboa huko mbeleni na pengine na kuwa kama malaika mkuu,yy angekuwa kila cku anaenda Kenya
 
Gerald Kabuye aka Number 3 ambaye ni mwenyikiti wa ccm mkoani Mara ni mkenya kwa asilimai mia. Hili linatokea baada ya Sylvia Mulinge ambaye aliteuliwa kuwa CEO wa Vodacom Tz kunyimwa kibali cha kufanya kazi bongland.

Je , Kabuye atachukuliwa hatua gani na Serikali ya Bongolala?
Kigogo wa CCM mkoani Mara sio raia wa Tanzania
Mwenyekiti CCM Mara: Mafisadi wa trilioni 1.5 wanyongwe
CCM makao makuu wanamlinda pia yeye binafsi anatembeza Rushwa kuanzia kijijini kwake, kata, wilaya, mkoa, kanda mpaka Taifa ili kuficha Aibu kwa CCM, huko Uhamiaji wamekula pesa nyingi ili wasimkamate ni Aibu CCM kukumbatia uovu huku wakiwaonea chadema kwa kuwabambikia kesi nk .
 
RAIA wa nchi yoyote anaweza kuwa kiongozi wa ngazi yoyote ktk nchi yoyote endapo taratibu zote za kuupata uraia wake zilifuatwa.
Wewe hujaisoma katiba.
Kuna haki za raia wa kuzaliwa ambazo raia wengine hawana
 
Uhamiaji wanasubiria watanzania wasahau kidogo maana watanzania ni wepesi wa kusahau haraka
 
Back
Top Bottom