Recent content by tlc trans

  1. T

    JamiiForums Tanzania ninauza set ya vifaa vya mazoezi vya body building ambavyo ni locally

    kaka ushauri wa bure tupia picha tuone!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

    Kasome katiba inakueleza tafsiri sahihi ya wanajeshi na sio kama unavyodhani
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

    Wengi wao ni IGNORANCE OF LAW!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

    Kwa nini tulaumu trafiki badala ya kuangalia miundo mbinu ambayo itaondoa misongamano isiyokuwa na lazima! tafakari
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

    Kwani wewe ofisini kwako wote mko perfect??
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

    uchunguzi unaendelea...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ubungo: Wanajeshi wampa kisago traffic police...!

    Wana JF Ni hivi juzi tu tumeshuhudia wanajeshi wakimpiga trafiki eti kawachelewesha kwenye foleni! Sasa mimi ninajiuliza maswali kadhaa ambayo naamini hata wengine inawezekana wakawa wanajiuliza kama mimi 1. Je ni kweli trafiki aliwachelewesha wao wanajeshi tu au kulikuwa na watu wengine wa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani!

    storage fee baada ya siku saba tangu kushuhswa toka melini, gharama za bandarini zategemea na aina ya gari pia na size ya gari, kwa kifupi ni hivyo wengine wanaweza fafanua, asante
  9. T

    JamiiForums Tanzania Polisi ARUSHA wanatumia magari ya polisi kinyume na sheria

    Kichwa cha habari na uliyoyaandika tofauti!
  10. T

    JamiiForums Tanzania JWTZ kupiga doria barabarani: Mwamunyange ameenda mbali mno...

    kwa lip mkuu? au ulitaka adanganye kuwa alikuwa na taarifa zao wakati si kweli!?
  11. T

    JamiiForums Tanzania JWTZ kupiga doria barabarani: Mwamunyange ameenda mbali mno...

    1. kazi kuu ya vyombo vya ulinzi na usalama ni kuhakikisha amani ndani ya nchi yetu inakuwepo, sio eti hawa ni wanajeshi basi kazi yao ni kulinda mipaka wakati ndani sio shwari NO unajidanganya ndg! 2.Lakini pia yafaa ujue kuwa vyombo hivi vinafanya kazi kama mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

    ndio kinachofuata mkuu! Ni suala la muda tu
  13. T

    JamiiForums Tanzania Sheikh Fareed wa Uamsho apatikana akiwa yu hai na mwenye afya tele

    Hizi sanaa za maigizo ya kutekwa kazi kweli kweli...sasa subiri aje atekwe kiukweli akanyofolewe kucha na ulimi kudadadekiii!!!!
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na bidhaa za WESTPOINT

    Asante kwa taarifa!!
  15. T

    JamiiForums Tanzania NINA MTAJI WA 10M TSHs NAOMBA MSAADA WA BIASHARA

    jaribu kupitia post za nyuma haya mambo yalishazungumzwa sana..... karibu
Back
Top Bottom