Recent content by TJM255

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania Inakabiliwa na Changamoto ya Maudhui Haramu kwenye Facebook

    Tanzania inakabiliana na ongezeko la maudhui haramu kama vile picha za ngono kwenye mtandao wa Facebook. Hii inaleta wasiwasi miongoni mwa watumiaji ambao wanahisi kutoweza kulinda faragha zao na heshima mtandaoni. Nawahasisha watumiaji kushiriki kwenye mjadala huu muhimu. Je, una maoni gani...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mabasi ya DART yameanza kufanya Majaribio

    TANGAZO KWA UMMA. Ndugu wakazi wa Dar es Salaam... Mabasi ya DART yameanza kufanya Majaribio kuanzia Jana na yataendelea kila siku. Watumiaji wote wa vyombo vya moto mnatakiwa kutumia njia zilizotengwa kwa ajli ya kilichokusudiwa. Kuanzia Jana Barabara za DART hazitatumiwa na Chombo kingine...
  3. T

    JamiiForums Tanzania UDA: Hatujafilisika na hatuna dalili za kufilisika

    TAARIFA KWA UMMA Kumekuwepo na taarifa za uwongo kwenye vyombo vya habari, hasa kijarida cha Dira ya Mtanzania, na mitandao ya kijamii kuhusu uongo kuwa kufilisika kwa Shirika la Usafiri Dar Es Salaam (UDA) Limited. Menejimenti ya Shirika la Usafiri Dar Es Salaam inakanusha uwongo huo kuwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Robert Kisena atangaza kufilisika kwa UDA

    TAARIFA KWA UMMA Kumekuwepo na taarifa za uwongo kwenye vyombo vya habari, hasa kijarida cha Dira ya Mtanzania, na mitandao ya kijamii kuhusu uongo kuwa kufilisika kwa Shirika la Usafiri Dar Es Salaam (UDA) Limited. Menejimenti ya Shirika la Usafiri Dar Es Salaam inakanusha uwongo huo kuwa UDA...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kasoro DART: Milango ya mabasi ipo kushoto wakati vituo vya abiria vipo kulia

    Milango ya kupanda na kushukia Abiria ipo kulia na kushoto ili kukidhi mahitaji ndani na nje ya mfumo
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kasoro DART: Milango ya mabasi ipo kushoto wakati vituo vya abiria vipo kulia

    Milango ya kupanda na kushukia Abiria ipo kulia na kushoto ili kukidhi mahitaji ndani na nje ya mfumo.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha Mabasi yaendayo kasi DART ni ya Kichina: "Ni kiwanda kilicho Assemble Mabasi tu"

    Milango ya kupanda na kushukia Abiria ipo kulia na kushoto ili kukidhi mahitaji ndani na nje ya mfumo
Back
Top Bottom