Mabasi ya DART yameanza kufanya Majaribio

TJM255

Member
Aug 20, 2015
7
2
TANGAZO KWA UMMA.
Ndugu wakazi wa Dar es Salaam... Mabasi ya DART yameanza kufanya Majaribio kuanzia Jana na yataendelea kila siku. Watumiaji wote wa vyombo vya moto mnatakiwa kutumia njia zilizotengwa kwa ajli ya kilichokusudiwa. Kuanzia Jana Barabara za DART hazitatumiwa na Chombo kingine chochote zaidi ya Mabasi ya DART. Magari ya Serikali, Magari ya Majeshi (JWTZ,POLISI, MAGEREZA) NI MARUFUKU kutumia barabara za DART. Watumiaji wa Bodaboda na Bajaji barabara zenu za kutumia ni zile zinazotumiwa na magari mengine..(Siyo Barabara za DART wala za Watembea kwa Miguu). Wanaoegesha magari barabara ya Msimbazi na Kisutu mwisho leo kufanya hivyo kwakuwa ni kukiuka Utaratibu...

TANGAZO HILI PIA LIPO KWENYE VYOMBO VYOTE VYA HABARI.

MFIKISHIE MWINGINE UJUMBE HUU
 

Attachments

  • 13009679_10153696327648337_2074696946_o.jpg
    13009679_10153696327648337_2074696946_o.jpg
    32.3 KB · Views: 61
  • 1.jpg
    1.jpg
    70.1 KB · Views: 83
Naona pichani kuna boda boda inafuata dart nyuma, au ni ya majeshi yalioruhusiwa?
 
Back
Top Bottom