Recent content by TJ Victor

  1. TJ Victor

    Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

    Swali langu: kuna uhusiano gani kati ya mate hayo ya mbwa na sala? Na kingine kama ni swala la rubela tayari kwa sasa tuna chanjo na huo ugonjwa ushapotea kabisa.
  2. TJ Victor

    Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

    Aisee, shida wengi wetu hatupendi kuhoji maswali tunaenda kwenye hizi dini kichwakichwa tu😄. Ona sasa huli nyama ila unatumia mifupa kwenye ibada za kufukuza majini
  3. TJ Victor

    Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

    Yes, kwanini mchanga? Je mchanga hauna bacteria ambao pengine ni wabaya zadi ya hao wa mbwa?
  4. TJ Victor

    Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

    Kuna uthibitisho wowote kisayansi unaosema mbwa akikulamba hata kama hajakung'ata yale mate yake yanaweza kukudhuru? Kama hamna basi hoja yako haina mashiko. Halikadhalika na kwa nguruwe pia, ukigusana nae unaweza pata madhara yeyote? Au kwa lugha nyepesi, kuna ubusiano gani kati ya sala na...
  5. TJ Victor

    Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

    Ni wiki tu kuna dada ni jirani yangu huku kimara aling'atwa na paka akahangaika hospitali lakini alifariki, ripoti ya daktari ikasema ni sumu za mate na meno ya paka ndo zilizomuua. Nikafanya utafiti kwa kugoogle kisayansi inaonesha ni kweli paka ana sumu kali sana
  6. TJ Victor

    Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

    Aise pole sana. Ni wiki sasa kuna dada alijeruhiwa kwa kung'atwa na paka akahangaika hospitali na mwishoe akafariki. Madaktari walipotoa ripoti ya sababu za kifo ikaonekana ni sumu zimemuua kutokana na bacteria waliokuwepo kwneye mate na meno ya paka. Je hilo unalizungumziaje? Mahali alipofia ni...
  7. TJ Victor

    Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

    Samahani kama nitakua nimekukwaza kwa maswali mengi. Ila naomba unijulishe ni kwanini najisi zitokanazo na nguruwe na mbwa zimewekewa sharti kali sana tofauti na najisi zitokanazo na wanyama wengine?
  8. TJ Victor

    Form six leaver seeking

    Kuna kazi ya kulea mtoto mdogo ana miezi 9. Kazi ipo manzese. Reply my comment then nitakuunganisha na boss akupe job description
  9. TJ Victor

    Naomba ushauri, nina milioni tatu nataka nikaanze maisha

    Una maanisha nini unaposema una milioni tatu unataka uanze maisha? Je ni maisha gani hayo unayozungumzia?
  10. TJ Victor

    Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

    Mlishafanya na utafiti kwa wanyama wengine wakufugwa kama paka? Vipi kama paka nae ana bacteria wanaofanana na hao wa mbwa? Mana wote ni wanyama na wanafungwa kwenye majumba ya watu
  11. TJ Victor

    Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

    Kuna bacteria wengi sana hasa kwenye hii hewa tunayovuta. Hao hua mnawaondoaje? Au nini maana ya neno najisi kulingana na dini yako?
  12. TJ Victor

    Nyota ya mtu ni nini

    Nahisi doctor unachanganya mambo. Huyo rostam, fred na wengineo kama wangekua wamelala tu chumbani unadhani hayo madili ya serikali yangewafata huko chumbani? Ina maana walitika wakapambania hatima yao ndo mana leo unaona matunda ya kazi yao. Shida tunapenda kuona matokeo hatupendi kufuatilia...
Back
Top Bottom