Nyota ya mtu ni nini

Nyota ya mtu ni nini

Uonyeshwi kila kitu kuhusu ulaya only mambo mazuri
Kwakuwa mm nipo Tanzania.

Umasikini wa Africa na Tanzania generally upo catalyst na mifumo na sio hizo habari sijui laana ,nyota n.k

Matumizi ya resources yapo misused
Na kuna mifumo duni
Elimu duni

Na uncivilized so elewa hilo
 
Mifumo inachangia ila sio kwa asilimia 100. Mana kwenye mifumo hio hio mibovu bado kuna watu ni matajiri. Unataka kuniambia hao matajiri walipo Tanzania hio mifumo mibaya wao haiwagusi? Na imewezekanaje wao kua matajiri?
 
Kwakuwa mm nipo Tanzania.

Umasikini wa Africa na Tanzania generally upo catalyst na mifumo na sio hizo habari sijui laana ,nyota n.k

Matumizi ya resources yapo misused
Na kuna mifumo duni
Elimu duni

Na uncivilized so elewa hilo
Vyote but jitihada za mtu binafsi Zina mchango mkubwa sana.
Mbona wageni wanakuja na begi tupu wanaondoka na mabegi yamejaa pesa.
Usipotajirika tz utatajirika wapi
 
Labda hujaelewa vizuri. Kwa maelezo ya ndugu yetu, kasema nyota ni ile talanta au kipawa ambacho ni cha asili unazaliwa nacho. Swala la kua tajiri itategemea na akili yako sasa kutumia hicho kipawa chako kukupa huo utajiri. Haimaanishi kua ukiwa na nyota peke yake basi unakua tajiri automatically

Hakuna kitu kinaitwa kipawa au talanta you can do anything in this entity so called world .

Kasikilize nyimbo ya kwanza ya Diamond kabla hajapata Fame ukiisikiliza utajua kuwa hakuna kitu kinaitwa kipawa .

Kule ulaya wanachofanya ni kuangalia una passion gani na kuendeleza passion yako .

Hata wewe Leo unaweza kuamua kuwa muombaji , muigizaji , msusi , mkulima , dancer n.k

Jambo lolote unalotaka unaweza kuwa hakuna MTU alizaliwa na akawa destined kwa kitu Fulani ni passion ,efforts and consistence ndo inakufikisha huko .
 
Kwakuwa mm nipo Tanzania.

Umasikini wa Africa na Tanzania generally upo catalyst na mifumo na sio hizo habari sijui laana ,nyota n.k

Matumizi ya resources yapo misused
Na kuna mifumo duni
Elimu duni

Na uncivilized so elewa hilo
Vyote but jitihada za mtu binafsi Zina mchango mkubwa sana.
Mbona wageni wanakuja na begi tupu wanaondoka na mabegi yamejaa pesa.
Usipotajirika tz utatajirika wapi
 
Hakuna kitu kinaitwa kipawa au talanta you can do anything in this entity so called world .

Kasikilize nyimbo ya kwanza ya Diamond kabla hajapata Fame ukiisikiliza utajua kuwa hakuna kitu kinaitwa kipawa .

Kule ulaya wanachofanya ni kuangalia una passion gani na kuendeleza passion yako .

Hata wewe Leo unaweza kuamua kuwa muombaji , muigizaji , msusi , mkulima , dancer n.k

Jambo lolote unalotaka unaweza kuwa hakuna MTU alizaliwa na akawa destined kwa kitu Fulani ni passion ,efforts and consistence ndo inakufikisha huko .
Anhaa basi kama ni hivo wangapi wanaimba wakafanikiwa kama huyo diamond? Unataka kuniambia hao wengine hawana juhudi?
 
Kwakuwa mm nipo Tanzania.

Umasikini wa Africa na Tanzania generally upo catalyst na mifumo na sio hizo habari sijui laana ,nyota n.k

Matumizi ya resources yapo misused
Na kuna mifumo duni
Elimu duni

Na uncivilized so elewa hilo
Vyote but jitihada za mtu binafsi Zina mchango mkubwa sana.
Mbona wageni wanakuja na begi tupu wanaondoka na mabegi yamejaa pesa.
Usipotajirika tz utatajirika wapi
Akili zikiwa safi mifumo huwa safi
 
Mkuu vipi na hao machawa kina Mwijaku na hao wanaokula rasilimali zetu kila siku vipi wana nyota kali kuliko sisi uku??
 
Bidii Yako ndio nyota yako, either uwe na kipaji au usiwenacho
Ndo mana wengi hatufanikiwi aisee. Uelewa ni mdogo sana. Ndo mana sasaivi tuna madaktari ambao wamesoma udaktari ila kutibu hawawezi. Hainawaji kukutokea hio hali? Au mwalim anakufunisha lakin huelwi ila anakuja mwingine mwenye hana hio taalum na ukamuelewa vizuri sana. Hio sasa ndo maana halisi ya kipawa
 
Sure
 
Vyote but jitihada za mtu binafsi Zina mchango mkubwa sana.
Mbona wageni wanakuja na begi tupu wanaondoka na mabegi yamejaa pesa.
Usipotajirika tz utatajirika wapi

Mgeni anakuja kuwekeza akiwa na mtaji mkubwa ambao unamfanya Ku-generate profit .

Sasa wewd masikini ambaye haujawahi kukamata hata mil 100 ya kwako unategemea kuwa tajiri kirahisi .

Na ukitaka kujua Tanzania kuwa tajiri sio jambo jepesi. Tazama hao matajiri asilimia kubwa wanafanya Kazi na Serikali direct and indirect ili wawe exempted katika tax n.k

Na wengi wametajirika kwa kushikwa mkono na wanasiasa

Anza na Bakhressa huyu Sera za Mwinyi na sapoti ndo zimemkuza

Fred vunja bei kapata sana tenda za kutengeza sare za police

Akina Lugumi n.k

Dr Mengi wote hao

Rostam Azizi

So eleweni mambo
 
Mkuu vipi na hao machawa kina Mwijaku na hao wanaokula rasilimali zetu kila siku vipi wana nyota kali kuliko sisi uku??
Tajiri gani mkubwa ambae amefanikiwa kwa njia ya kua chawa? Kama ukishindwa kujibu hilo basi hujaelewa somo kabisa
 
Mgeni anakuja kuwekeza akiwa na mtaji mkubwa ambao unamfanya Ku-generate profit .

Sasa wewd masikini ambaye haujawahi kukamata hata mil 100 ya kwako unategemea kuwa tajiri kirahisi .

Na ukitaka kujua Tanzania kuwa tajiri sio jambo jepesi. Tazama hao matajiri asilimia kubwa wanafanya Kazi na Serikali direct and indirect ili wawe exempted katika tax n.k

Na wengi wametajirika kwa kushikwa mkono na wanasiasa

Anza na Bakhressa huyu Sera za Mwinyi na sapoti ndo zimemkuza

Fred vunja bei kapata sana tenda za kutengeza sare za police

Akina Lugumi n.k

Dr Mengi wote hao

Rostam Azizi

So eleweni mambo
Nahisi doctor unachanganya mambo. Huyo rostam, fred na wengineo kama wangekua wamelala tu chumbani unadhani hayo madili ya serikali yangewafata huko chumbani? Ina maana walitika wakapambania hatima yao ndo mana leo unaona matunda ya kazi yao. Shida tunapenda kuona matokeo hatupendi kufuatilia mchakato/process za kupata matokeo
 
Mgeni anakuja kuwekeza akiwa na mtaji mkubwa ambao unamfanya Ku-generate profit .

Sasa wewd masikini ambaye haujawahi kukamata hata mil 100 ya kwako unategemea kuwa tajiri kirahisi .

Na ukitaka kujua Tanzania kuwa tajiri sio jambo jepesi. Tazama hao matajiri asilimia kubwa wanafanya Kazi na Serikali direct and indirect ili wawe exempted katika tax n.k

Na wengi wametajirika kwa kushikwa mkono na wanasiasa

Anza na Bakhressa huyu Sera za Mwinyi na sapoti ndo zimemkuza

Fred vunja bei kapata sana tenda za kutengeza sare za police

Akina Lugumi n.k

Dr Mengi wote hao

Rostam Azizi

So eleweni mambo
Utajiri wa kubebwa huwa hatuhuhesabu kama ni utajiri.
Pana matajiri kibao underground bila kushikwa mkono.
Utajiri ni ishu ya mindset ambayo weusi wengi ni changamoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom