Recent content by Titus

  1. Titus

    JamiiForums Tanzania Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

    Taarifa ni kuwa SCATEC wamekimbia kama walivyo fanya DECI, watu wameshaliwa sana
  2. Titus

    JamiiForums Tanzania Clouds FM...

    Clouds FM 87.9 FM toka jana haisikiki, sijuu kun shida gani huku Moshi..
  3. Titus

    JamiiForums Tanzania Majambazi wavamia na kuiba Pesa, CRDB tawi la Moshi

    Jamaa wanasema bank ilikuwa kwenye drill ya kufanyia test alarm system zao...huwa ni jambo la kawaida kibenk....hakuna wizi uliotokea.
  4. Titus

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Habari ya kwako Makanyagio, uliweza tafuta dawa ya mdogo wako kucha pombe, ulitumia maziwa ya nguruwe au njia gani?? Tafadhali tujuze ili na sisi wengine tujue..... many thanks...
  5. Titus

    JamiiForums Tanzania Maji Katoliki ni soo

    kama huna cha ku post si usome vya wengine
  6. Titus

    JamiiForums Tanzania Three African Presidents In Hell.

    Hahaaaa...
  7. Titus

    JamiiForums Tanzania PDF Files

    nashukuru zana kaka mkubwa Shy, nimefanikiwa.
  8. Titus

    JamiiForums Tanzania PDF Files

    Habari zenu wadau?? Naomba msaada wenu tafadhali, kuna file la PDF (Portable Document File) natakiwa nijaze na kutuma mahali, instructions zinasema ''fill the file from your computer'', Nitawezaje kuchapa kwenye computer yangu file la PDF?? nimejaribu na haiwezekani. is it possible to convert...
  9. Titus

    JamiiForums Tanzania Drunkered Brian

    keroro noma..lol
  10. Titus

    JamiiForums Tanzania Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Habari zenu wakubwa, Nimejaribu sana kutumia Lime wire na Vuze ku-download free movies na zote naona kama zinanizingua tu, ziko slow sana na quality ya dowloaded movies haiko safi. PLEASE naoma mnisaidie kama kuna free software nyingine mnazozifahamu nijaribu ili nipate movies za ukweli...
  11. Titus

    JamiiForums Tanzania Tehe! Tehe! Teeeehe!

    Mosasaaaaaaaaaaaaaa, lol
  12. Titus

    JamiiForums Tanzania "Don't try this at home!!"

    Kaka inategemea kama umeoa demu wa uswazi, hivi visista duu vyetu vya sasa hivi hata kupiga kofi havijui....
  13. Titus

    JamiiForums Tanzania Hadithi hadithi

    kaka unganisha hii hadithi uone italeta maana gani, maana wabongo bwana? umesema tuunganishe mpaka mwishi ila kuns mkuba mmoja aliishaimaliza zamani sana.....all in all i love ur thinking
  14. Titus

    JamiiForums Tanzania The farmer

    A farmer buys several pigs, hoping to breed them for ham, bacon, etc.... After several weeks, he notices that none of the pigs are getting pregnant and calls a vet for help. The vet tells the farmer that he should try artificial insemination. The farmer doesnt have the slightest idea what...
  15. Titus

    JamiiForums Tanzania Majina ya katikati ya kizungu ya Wachagga!

Back
Top Bottom