"Don't try this at home!!" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Don't try this at home!!"

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by SMU, Jul 28, 2009.

 1. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,933
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  A married man was having an affair with his secretary. One day, their passions overcame them and they took off for her house, where they made passionate love all afternoon.

  Exhausted from the wild sex, they fell asleep, awakening around 8.00 p.m.
  As the man threw on his clothes, he told the woman to take his shoes outside and rub them through the grass and dirt.

  Mystified, she nonetheless complied.

  He slipped into his shoes and drove home.

  "Where have you been!" demanded his wife when he entered the house.

  "Darling, I can't lie to you. I've been having an affair with my secretary, and we've been having sex all afternoon. I fell asleep and didn't wake up until 8.00 p.m."

  The wife glanced down at his shoes and said, "You lying bastard"
  You've been playing golf!!"
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ha!Ha!ha!ha!ha!....chenga ya mwili hii!
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  kumbe dawa ni kusema kweli then yeye akanushe, duh! umenifundisha!
   
 4. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  ha ha ha !!!
  ww unawajuwa wanawake vizuri lakini?
  Jibu kama hilo kwanza hatazami viatu, anakutazama usoni na kibao kizuri kinafuatia halafu huyooooo anasepa!
   
 5. Titus

  Titus Member

  #5
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kaka inategemea kama umeoa demu wa uswazi, hivi visista duu vyetu vya sasa hivi hata kupiga kofi havijui....
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Duh,,,,,,,,,,,,, kumbe hii nayo ni sifa!
   
 7. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  ndiyo eee,ulikua hujui??
  Vinaishia kulia tu,ila uswazi ni nomaaaaaa
   
 8. A

  August_Shao Senior Member

  #8
  Jul 30, 2009
  Joined: Nov 23, 2007
  Messages: 158
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  mfano asha ngedere
   
 9. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2009
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
   
 10. E

  Exaud Minja Member

  #10
  Jul 30, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 84
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15

  Inategemea Mke uliyeoa, mwingine haangalii viatu atadai leo ana hamu kinoma hapo ndio ukweli na uongo utakapojulikana.

  Jaribu uongo mwingine kama kurudi nyumbani na askari mwenye uniform kwa ajili ya kufanyiwa ugaguzi wa mali ya wizi kuonyesha ulikuwa umewekwa kizuizini kumbe fiksi.

  Ila ni dhambi kubwa sana kutembea nje ya ndoa ni bora usioe kabisa.
  Hakuna unachopata kwa mwanamke zaidi ya mkeo kama ni utamu unao mwenyewe ndio maana wanaopiga punyeto huwa wanapoteza kabisa hamu ya mwanamke kwa sababu utamu wanaupata free and safely.
  ONYO: Punyeto inapunguza kwa kiasi kikubwa nguvu za kiume.
   
 11. Mateso

  Mateso JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2009
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hii ni kufanyia kazi.
   
Loading...