Recent content by TITOP002

  1. T

    Mtaji miioni 60 naweza kufanya biashara gani?

    Ndugu wanajamii,kwa kifupi nategemea kupata mkopo toka Bank moja hapa Dar essalaam kwa kuweka nyumba yangu kama collateral(security). original business idea ilikuwa ni kufungua nursary ambayo baadaye inge turn into secondary school.Lakini kwa mtazamo wa haraka,naona kama hii biashara yahitaji...
  2. T

    Mtaji million sitini(60,000,000) biashara gani?

    Utapata mawazo hapa na kuyachuja kisha utaingia ulingoni.
  3. T

    Nyumba inapangishwa - Dodoma

    weka details na contacts.
  4. T

    Dvd duplicating machine with dvd printer for sale!

    nawaonea huruma wasanii----"piracy"
  5. T

    Competitive prices on -new hd projectors.

    NI TECHOLOJIA YA KISASA AMBAYO NDIO INATUMIKA SANA KWA HIVI SASA. ZINA UBORA WA HALI YA JUU NA BALBU(GROUPS) ZAKE NI BEI RAHISI SANA. ZINA MASAA MENGI(8000 HRS) KULIKO PROJECTA NYINGI. Matumizi: zina TV turner-zinatumika km TV,Business presentations,Maharusini,Games,shools,colleges,kuonyesha...
  6. T

    Projectors mpya toka uk zinapatikana kwa bei nafuu.

    Tumetoa specifications za projector hapo juu na Phone contact Kwa watu wanaohitaji.Watu wengi wamepiga simu na kununua. Hatuweki bei ili kuepuka JOKERS.Mtu ambaye yuko seriouse hawezi kushindwa kupiga simu au kuomba call back facility. Thank you.
  7. T

    Projectors mpya toka uk zinapatikana kwa bei nafuu.

    NI TECHOLOJIA YA KISASA AMBAYO NDIO INATUMIKA SANA KWA HIVI SASA. ZINA UBORA WA HALI YA JUU NA BALBU(GROUPS) ZAKE NI BEI RAHISI SANA. ZINA MASAA MENGI(8000 HRS) KULIKO PROJECTA NYINGI. Matumizi: zina TV turner-zinatumika km TV,Business presentations,Maharusini,Games,shools,colleges,kuonyesha...
  8. T

    Msaada wa email za Watu hawa.

    kwa Mohammed dewji. Tembelea Blog yake.
  9. T

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Ina bidi kuwaza mbali pia.Kwani kila kukicha Nchi za Afrika zina kopi maendeleo ya Ulaya na America. Ulaya hakuna umeme wa kupita kwenye Manguzo.Nadhani muda sio mrefu hii idea itakuja east Africa.Umeme wa kupita kwenye Manguzo ni hatari sana.kwahiyo itakuwa ni mwisho wa biashara ya miti ya...
  10. T

    Natafuta computer dell desktop

    Unaweza kupata kwa bei nzuri ila toa contact zako kwenye hii email. maddidy@hotmail.co.uk
  11. T

    Jeep grand cheeroke on sale.

    kariakoo,Lumumba,Tabata,mwenge kote kwenye maduka ya spea.
  12. T

    Jeep grand cheeroke on sale.

    Spea zinapatikana hapa Bongo kwani Jeep ziko hapa Bongo tangu siku nyingi. Na soko la magari lina hama kwa kasi sana toka Japan kuhamia Uk.Kutokana na currency issues. yen imekwenda juu sana na TShs. inazidi kushuka sana.
  13. T

    which is the easiest way of keeping daily sales?

    Ahsante kwa swali zuri. Kwa kurahisisha swala lako,usitumie excel.Hii excel ni sawa na manual work au kutumia BIC(pen). Unachotakiwa ni kuwa na stock database,barcode scanning til.Kila bidhaa duniani inabarcode ukitoa mihogo na viazi ila unaweza kuvipaki kwenye mifuko na kuzibandikia barcode...
  14. T

    Jeep grand cheeroke on sale.

    The car is in very good condition. milages 81000.Automatic, petrol. 2001yr 4.0L . Interested, email me at : maddidy@hotmail.co.uk Price: 23,000,000/= No bargaining room. Thank you.
  15. T

    Biashara ya Duka la Jumla

    Usije jaribu kumwajiri mtu wa karibu.Ajili mtu tofauti mwenye quality (creative na fast learner) ambaye uta mtreat professionally. Mtu wa karibu utapoteza biashara na undugu.Cha muhimu ni pata reference ya huyo mtu.
Back
Top Bottom