which is the easiest way of keeping daily sales? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

which is the easiest way of keeping daily sales?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by htolerate, Aug 28, 2010.

 1. h

  htolerate New Member

  #1
  Aug 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hee mazee, mambo ni vipi?
  Tell me nina kajiofisi kangu kadogo,i mean kaduka.nina register ya yenye orodha ya bidhaa zangu zote zilizopo.na mwisho wa siku kupitia kitabu changu cha risiti naanza kutoa nilivyouza kwenye stock yangu.pia nitajumlisha kujua jumla ya mauzo yangu,jumla ya madeni yatokanayo na mauzo yangu ya siku,na kiasi cha fedha taslimu.kwa kufanya hivi naweza kujua jumla ya mauzo yangu ya mwezi mzima,jumla ya madeni kwa mwezi mzima.jumla ya muzo yangu ya mwezi mzima,na jumla ya fedha taslimu kwa mwezi mzima pia.
  but huu ni utaritibu mgumu na unachosha.je wadau hakuna njia ingine ya kisayansi na kitechnolojia inayoweza kutumika kurahisisha hii,especially kwa kutumia computer progammes au vinginevyo?
   
 2. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  swali zuri sana....tuwasubiri wataalam watakuja tu
   
 3. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Unatumia Excel?This is the basic program ninayojua. Unaweza kutengeneza kitu kinaitwa a dynamic spreadsheet. Hii inarahisisha kazi maana kitu unachohitaji kufanya ni kubadilisha raw data tu. The rest of the spreadsheet inakuwa ni formula dependant tu. Hivyo unapodabilisha raw data, itabadilisha kila kitu kuendana na data mpya. Tatizo ni inachukua muda ku-set up na pia unahitaji kujua formulas za excel. But its simply magic na nasikia accountants wengi wanatumia hii njia katika mahesabu yao.
   
 4. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  MKUU WHAT IF HIYO COMPUTER HANA PLUS THAT EXCEL...HII MADA KAITUMA KUPITIA MGAHAWA WA INTANET...si unajuwa watanzania 13% ndio tunayo access ya umeme nadhani 1% ndio tunayo access ya computer ...achilia mbali 0.1% access ya intanet....PATAMU HAPO
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ugumu uko wapi? kujumlisha mauzo ya siku au? hata kama utatumia computer bado itakubidi uingize hizo data unless uwe na mashine yenye ku-scan price-tag kwenye bar code na kuingiza data moja kwa moja kwenye computer.
   
 6. T

  TITOP002 Member

  #6
  Aug 28, 2010
  Joined: Aug 15, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa swali zuri.
  Kwa kurahisisha swala lako,usitumie excel.Hii excel ni sawa na manual work au kutumia BIC(pen).
  Unachotakiwa ni kuwa na stock database,barcode scanning til.Kila bidhaa duniani inabarcode ukitoa mihogo na viazi ila unaweza kuvipaki kwenye mifuko na kuzibandikia barcode numbers.Hii itakuwezesha kujua stock yako bila kupoteza
  muda kwa kuhesabu kila siku.Hivi vyote ni bei rahisi na vipatikana hapa hapa Tanzania.
  Kama biashara yako nikubwa basi instal order software,ambayo ita suggest nikiasi gani ulete bidhaa fulani,
  km ni kiasi kwa wiki au mwezi inategemea na business projection yako.

  Thank you.
   
 7. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Asante kwa wote mliochangia ktk suala hili.Mimi ninakuomba uwasiliane na huyu jamaa atakusaidia sana ktk suala lako hilo, Tel:0718431991 Yeye ni mtaalamu aliyebobea ktk utengenezaji wa programu za kusimamia mfumo wa kumbukumbu za kibiashara.asante
   
 8. h

  htolerate New Member

  #8
  Sep 1, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yooo mazee,
  thanks a lot for ur advice bwaana.me ntamcheck mjomba,
  all the best mazee.hope mambo yapo ndani ya umiliki.
   
 9. Q

  Qsm JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 400
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Thanks wewe ni mkali ebu tuelezee kwa kina hizo barcode numbers zikoje?
   
 10. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  mkuu inaelekea huwahi tumia excel...bali unaichezea tu. Hiyo ya ku-scan barcodes sawa. Lakini kwa vingine...inakufanyia shughuli tosha!
   
Loading...