Projectors mpya toka uk zinapatikana kwa bei nafuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Projectors mpya toka uk zinapatikana kwa bei nafuu.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TITOP002, Sep 9, 2010.

 1. T

  TITOP002 Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 15, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NI TECHOLOJIA YA KISASA AMBAYO NDIO INATUMIKA SANA KWA HIVI SASA.
  ZINA UBORA WA HALI YA JUU NA BALBU(GROUPS) ZAKE NI BEI RAHISI SANA.
  ZINA MASAA MENGI(8000 HRS) KULIKO PROJECTA NYINGI.
  Matumizi: zina TV turner-zinatumika km TV,Business presentations,Maharusini,Games,shools,colleges,kuonyesha mipira kwenye kumbi na mengine mengi.
  SPECIFICATIONS.
  Specifications:
  Model
  Clearco HD9000 Model - With Latest LCD Technology!

  Brightness
  2,200 Lumen!!!!
  Contrast Ratio
  2000:1
  Resolution
  1024*768
  Light
  175W Golden Bittern Lamp
  Lamp Life
  8,000 hrs (New Technology)

  Voltage
  240 volts AC
  Projection Distance
  1.5 to 6 metres
  Projection Size
  45"-150" (Massive) Zoom Function Equipped

  Aspect Ratio
  16:9 and 4:3 Switchable
  Body Size
  260mm x 220mm x 70mm (Slim-Line!)

  Interfaces
  Video Inputs: PC, TV, Video, Audio, S video, SCART adapter available!

  Output
  Video, Audio
  Speaker
  3W Stereo speaker

  Controller
  Infrared Remote control
  kwa bei na maelezo zaidi piga simu number: 0713846454.
  Thank you.

   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,330
  Likes Received: 19,497
  Trophy Points: 280
  Zina guarentee?
   
 3. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Weka bei ili kuturahisishia!
   
 4. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa ndugu, projectors kwa bei nafuu kisha tukupigie ndio tujue bei?, kwa nini hukutujulisha bei hapa hapa tukajua kama uwezo tunao au la.Anyway thanx lakini.
   
 5. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #5
  Sep 9, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  TITO nakuomba this time uwe serious ....usiwazingue watu kama ulivofanya kipindi cha nyuma kisha ukaingia mitini.....embu check hiyo thread na utakumbuka issue ulizofanya...
  https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogomadogo/60699-projectors-special-offer-for-world-cup-stock-available-in-dar.html
   
 6. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #6
  Sep 9, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  BEI PLEASE! No bei no kupiga cm!
   
 7. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #7
  Sep 10, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Aaargh! Hawa madalali wengine.....!
   
 8. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #8
  Sep 10, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,865
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Asante sana Ndugu PAYUKA kwa kutupatia hii tahadhari kuhusu hii deal ya Ndugu TITO002 ili tufuatilie tangazo lake la biashara kwa tahadhari. Ushauri wa bure kwako TITO002, be serious na biashara zako, zisiwe za kubeeeeeepp!!!!!
   
 9. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #9
  Sep 10, 2010
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kweli mama mdogo mpe vipande vyake kama aliwahi kuwatia joto watu halafu akaingia mitini ni aina ya utoto ambao hauwezi kumlipa na inaelekea hata akikua hatoacha!

  Biashara za soko huria zinataka uwazi suala la kupiga simu litafuata watu wakishajua bei na kuridhika nayo ndipo wanaweza kupiga kwa ajili ya ku bargain terms ndogo ndogo na kukamilisha biashara yenyewe. Naona pia kuna usahaulifu au kutokuwa makini katika maana kwamba mawasiliano ni pesa, sasa uanze tu kuwasiliana wakati hujajengewa ushawishi wa kutosha, letu us be serious.
   
 10. T

  TITOP002 Member

  #10
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 15, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tumetoa specifications za projector hapo juu na Phone contact Kwa watu wanaohitaji.Watu wengi wamepiga simu na kununua.

  Hatuweki bei ili kuepuka JOKERS.Mtu ambaye yuko seriouse hawezi kushindwa kupiga simu au kuomba call back facility.

  Thank you.
   
 11. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Thanx, sasa hv nawatwangia tafadhali nipigie,...kisha nauliza bei! teh teh!
   
 12. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Jokers??? Wale wajapan na biashara yao ya magari wanaweka thamani ya bei kwenye mtandao sembuse kaprojector kako, au Kivuko.com mbona wameweka bei ya kila kitu na wanakuletea mpaka mlangoni kwako hata kama unaishi manzese,...acha mambo ya 47 weka bei watu wachambue mbiivu na mbichi

  [​IMG]
  Search
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  thanks x-paster... ni paundi 189 inc VAT sanasana laki tano

  hahaaaaa, bongo hapo tutapigwa milioni.... huhuuuuu
   
Loading...