Jeep grand cheeroke on sale. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jeep grand cheeroke on sale.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TITOP002, Aug 28, 2010.

 1. T

  TITOP002 Member

  #1
  Aug 28, 2010
  Joined: Aug 15, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  The car is in very good condition.
  milages 81000.Automatic, petrol.
  2001yr 4.0L .
  Interested, email me at : maddidy@hotmail.co.uk
  Price: 23,000,000/= No bargaining room.

  Thank you.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  vp mkuu kuhusu spea?....isije ikawa ni matiti ya nyoka
   
 3. T

  TITOP002 Member

  #3
  Aug 28, 2010
  Joined: Aug 15, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Spea zinapatikana hapa Bongo kwani Jeep ziko hapa Bongo tangu siku nyingi.
  Na soko la magari lina hama kwa kasi sana toka Japan kuhamia Uk.Kutokana na currency issues.
  yen imekwenda juu sana na TShs. inazidi kushuka sana.
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  mimi ninayo, kwani ulikuwa unayahitaji? natania tu

  sio siri dada preta spare zinaweza kuwepo lakini bei yake ikawa ni balaa
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Aug 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  siku hizi kutokana na huu uchumi wetu inabidi (kwa sisi wengine) tukitaka gari tujali na uwepo wa spea.....nina rafiki yangu ana Opel Vita, hiyo gari inamdraivu kraize.....kwa kweli kama janga halijakukuta binafsi basi utajifunza kwa wenzio........hiyo ndio tunaita matiti za nyoka
   
 6. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #6
  Aug 28, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,149
  Likes Received: 23,837
  Trophy Points: 280
  Leo nimejifunza msamiati mpya, "Matiti za nyoka". He he he!.
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Aug 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  point of corr.....matiti za nyoka....he he....nimekumiss
   
 8. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #8
  Aug 28, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,149
  Likes Received: 23,837
  Trophy Points: 280
  He he he tuonane kesho pale Savanah tule mdudu!.
   
 9. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #9
  Aug 28, 2010
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Spea zake zinapatikana duka gani Kariakoo? Tafadhali tupe maelezo zaidi sisi ambao tunafikiria kununua.
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Aug 28, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  ndugu yangu duka hutokea ukisha inunua......mimi nadhani nitaendelea kuwaheshimu zaidi Toyota maana yalishanikumba.....ila utamu wa ngoma ingia uselebuke
   
 11. T

  TITOP002 Member

  #11
  Aug 29, 2010
  Joined: Aug 15, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kariakoo,Lumumba,Tabata,mwenge kote kwenye maduka ya spea.
   
 12. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  mimi nina milioni 9
   
Loading...