Recent content by Titia

  1. Titia

    Wanaomiliki Toyota Starlet wanaonekana vituko wakiwa mjini na Vigari vyao

    Mtoa mada punguza makasiriko! Inaonekana upo kwa daladala na umeshikiria bomba halafu kuna foleni, ukitupa jicho pembeni unaona watu na vigari vyao wametulia😁 basi unasonya kwa hasira! Enjoy the life u have!😉
  2. Titia

    Mafuta ya tumeric na fair and love whitening yapi mazuri zaidi?

    Habarini wana jamii, naomba msaada wa kuyajua haya mafuta tajwa hapo juu. Nahitaji mafuta mazuri ya kung'arisha mwili mzima ambayo ntachanganya na lotion au ntapaka juu yake. Nataka kufahamu kama hayachubui, na je yana madhara. gani kama mtu alishawahi tumia. Naona yanasifiwa sana, kabla...
  3. Titia

    Chimbo la Vipodozi Original kwa bei nafuu limekufikia

    Unauzaje bidhaa za CeraVe, natafuta night cream ya CeraVe.
  4. Titia

    Naingia kwenye kufuga kuku chotara (Saso)

    Mkuu CoderM, wewe ni mzoefu naomba kuuliza. Nataka kufuga kuku chotara nichukue kloira kuku mia kwa ajili ya mayai tu, ila wakifikisha miezi mitatu nitayapunguza majogoo nitabakaisha wachache pmj na tetea. Lengo atleast kila siku niwe natoa tray moja ya mayai. Kwa uzoefu wako na gharama za...
  5. Titia

    Naomba ushauri, nataka kufuga kuku chotara kidogo kwa ajili ya kuongeza mzunguko wa hela

    Habari wana jamii, Naomba mnishauri, mimi ni mfanyakazi serikalini. Muda mrefu nafikiria biashara ya kufanya lakini nashindwa. Sasa hivi nimeamua kuanza kufuga kuku chotara. Nataka kununua kuku chotara vifaranga mia moja. Nivitunze na kuvilisha vzr, lengo nataka muda ukifika 40 niviuze halafu 60...
  6. Titia

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Sorry kwa kuchelewa kujibu mkuu. Natumia redmi note 9
  7. Titia

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Asanteni, kingine nikipiga au kupigiwa wkt mwigine simu ikishakatwa bado kwa screen inaonyesha jina la aliyenipigia huku inaandikwa on going call huku inahesabu dkk yaani km vile simu bado haijakatwa. Lkn inakuwa imeshakatwa. Nimehangaika sana kwenye setting kuitoa hii lkn nashindwa. Naombeni...
  8. Titia

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Wakuu, naomba msaada, natumia redmi note 9. Scanner haifanyi kazi yake. Inapiga pic kawaida tu haiscan. Naomba msaada nifanyeje. Nikipiga document inajisave kila page peke yake.
  9. Titia

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Asante sana, na tofauti kati ya note 10 pro na note 10 isiyo pro ni nini. Nàona nyingi zinakuwa 8 na 8 pro au 9 na 9 pro. Hiyo pro ina nn cha ziada ?
  10. Titia

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Wakuu habari zenu. Na mimi nataka kununua redmi sasa nimesoma sifa zake nimeridhika. Naomba kuuliza hv tofauti kati ya redmi note 8,9, 10 na note 8,9,10 pro nini. Nataka kujua hiyo pro ina nn cha ziada. Pia naomba mnitajie simu ya redmi yenye bajeti ya kawaida isizidi laki 5, ambayo ina camera...
  11. Titia

    Mbwa jamii ya Rottweiller waua mwangalizi wao Dar

    Wakuu habari zenu, Kuna video nimeiangalia ndani ya dkk 3 mbwa wameua mtu. Nikaukumbuka huu uzi. Msicheze na mbwa majumbani mwa watu, hata ukiona wametulia usiingie mpk mwenyeji aje jmn. Ni hatari
  12. Titia

    Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

    Pia kuna baadhi ya wanaume ni kero unakuta mwanamke umeenda kulala, ye atakaa sebuleni anaingia kulala anakuta mke yuko fofofo anakuamsha anataka sex kwa kweli hapo ni msalaba. Hata km nilikuwa na hamu ishapote usingizini halafu uje kusema mke wangu hapendi kusex kumbe ni timing tu. Mwanamke...
  13. Titia

    Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

    Mi nafikiri mwanamke ana vipindi vayke vya kuenjoy sex sio kila siku. Bila kutumia madawa wala vipipi yaani automaticall tu unakuea very high mwanamke. Na kuna kipindi unamkuwa huna mzuka hata, unafanya kumridhisha mume tu bora liende. Hapo ndo wengine hawawezi wanaona mateso, ila wengine...
  14. Titia

    Sebastian Mwavanga: Mlinzi wa Rais Magufuli aliyevutia wengi

    Dah! Tunatofautiana aisee, mi yule mlinzi mwanajeshi mrefu, anasimama nyuma namkubali sana mkaka kaenda hewani, ana mapozi flani hv amazing ya kuangalia. Huyu mnayemsifia doh! Kanenepa ovyo sana, Kanenepa mpk usoni,
Back
Top Bottom