Recent content by tisa desemba

  1. T

    Mtwara: Taharuki Tandahimba baada ya madai ya mtoto mchanga kutabiri mvua ya ajabu; wakesha wakinywa uji wa Muhogo

    Ni mkweli ndugu, si tandahimba tuu, habari zimesambaa maeneo mengi ya Lindi na Mtwara, mie nipo Nanjilinji Kilwa, huku pia uji unanyweka toka alfajiri.
  2. T

    Makapuku Forum

    Uub
  3. T

    Nataka kufunga ndoa bila sherehe

    Wanaume wengi hawapendi mbwembwe na sherehe, tatizo lipo kwa upande wa pili.
  4. T

    orodha ya vyakula enzi mwalimu jk nyerere

    Tena kipindi cha pili cha Mwinyi (1990-1992 hivi) Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    Mkoani Mara yanyesha mvua ya mawe pamoja na upepo mkali

    Poleni wana Mara, japo ingekuwa vyema ukaspecify Mara sehemu gani,wilaya, kata au kijiji gani hayo maafa yametokea
  6. T

    Natafuta Maharage aina ya Green mung beans,maharage ya kijani

    Mkuu @ TAVEATT umeshapata haya maharage ya kijani (choroko)? kama bado ni Pm tufanye biashara
  7. T

    Alihukumiwa kwa kosa la kuua, baada ya kifungo amemkuta hai akamuua, je atahukumiwa tena?

    Mfano wako sio relevance Tendo la kugegedana linaweza tokea mara nyingi (kwa siku na maeneo tofauti) yawezekana kwel jamaa aligegeda na akagegeda ulivyotoka jela. Ila tendo la kuua (kifo) linatokea mara moja tu.
  8. T

    Kabila la wamanga

    Vp kuhusu "Bambadi"
  9. T

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    nasikia tabora ni jimbo pekee ambalo halijawahi kuongozwa na mbunge mmoja miaka 10 mfululizo...
  10. T

    Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

    wote mmekosea, ni tarehe 20/8/2015
  11. T

    Hope Channel inapatikana king'amuzi gani?

    toa somo kwa tusio watalaam
  12. T

    UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    nipo dodoma nkuhungu, magari hakuna.... ni bodaboda tu
  13. T

    Watu 10 Mashuhuri waliouawa kwa kupigwa Risasi

    mkuu malizia na Pablo Escober
  14. T

    Watu 10 Mashuhuri waliouawa kwa kupigwa Risasi

    assasination ya Archiduke Frednand and his wife sophie in Sarajevo, 28 June 1914, ilipaswa iwe no. 1
Back
Top Bottom