sylivester makongo
JF-Expert Member
- Jun 1, 2017
- 215
- 81
Post sent using JamiiForums mobile app
Tena kipindi cha pili cha Mwinyi (1990-1992 hivi)Hivyo vyakula ni enzi ya mwinyi siyo nyerere hiyo bei ni miaka ya 1986-1988
Kumbe chips nazo zilikuwepo toka kitambo
Hivyo vyakula ni enzi ya mwinyi siyo nyerere hiyo bei ni miaka ya 1986-1988
Uongo mtupu hiyo enzi ya mkapa au mwinyi mwishoni
Naona hata nyie mnakosea sana tu...kwa hiyo standard ya huo mghahawa hizo ni bei za chakula miaka 2000 hadi 2005, hadi miaka ya 2005 donati na keki ilikua ikiuzwa 50 hii nakumbuka kwenye cafetaria ya shule.. wali umeanza kuuzwa 1000 kwenye mghahawa kama huo miaka ya 2007 huko...sasa hivi miaka 10 baadae utakua ukiuzwa 2000 kwenye hiyo hiyo mgahahawa kama utakua una exist kwenye hiyo condition yake
Uko sahihi mkuu nimekumbuka wali sahani mwaka 2006 UDSM cafeteria tulikula kwa Sh 750Naona hata nyie mnakosea sana tu...kwa hiyo standard ya huo mghahawa hizo ni bei za chakula miaka 2000 hadi 2005, hadi miaka ya 2005 donati na keki ilikua ikiuzwa 50 hii nakumbuka kwenye cafetaria ya shule.. wali umeanza kuuzwa 1000 kwenye mghahawa kama huo miaka ya 2007 huko...sasa hivi miaka 10 baadae utakua ukiuzwa 2000 kwenye hiyo hiyo mgahahawa kama utakua una exist
hahaaa, umeonaaee.....Uko sahihi mkuu nimekumbuka wali sahani mwaka 2006 UDSM cafeteria tulikula kwa Sh 750
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mawazo kama yangu,hua nadhani kna vyakula havikuepo kabsa enz za mwalimu nilidhan walikula ugali na wali tuKumbe chips nazo zilikuwepo toka kitambo