Natafuta Maharage aina ya Green mung beans,maharage ya kijani

TAJIRI MSOMI

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
495
513
Natumai mpo wazima wote, nahitaji maharage ya kijani yanaitwa Green Mung Beans,kama unayo tafadhali nitajie bei kwa Metric Tonne ,na sehemu ambako upo na hayo maharage,na uwezo wako wa kuweza ku- supply kwa mwezi, mimi nipo Dsm, namba yangu ya simu ni 0766943145
 

Attachments

  • Sa_green_gram.jpg
    Sa_green_gram.jpg
    116.4 KB · Views: 99
  • mug.jpg
    mug.jpg
    12.9 KB · Views: 109
Kuweka sawa taarifa yako maharage ya kijani huitwa choroko (Mung) zipo kibao sokoni.

Hivyo wakulima wa choroko wilayani Nanyumbu, mkoani Mtwara changamkieni fursa hii aliyoiomba mdau hapo juu.

 
hiyo bei ya mwaka 2000 nadhani choroko kwa sasa ina 2300 pa kg!! leja leja 2600/2700 hii ni dsm
 
Back
Top Bottom