Recent content by Tiro47

  1. T

    JamiiForums Tanzania Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?

    Aliyetoa wazo kutoka TCRA kufungiwa kwa JF ndiye aliyemdhalilisha zaidi mgombea wa CCM. Ametoa mwanya kwa watu wengi kufuatilia hizo picha na kuzi term in negative way. Nafikiri wangeanza na huyo jamaa aliyeona kama anajenga kumbe anabomoa. Uchawa ukizidi unaharibu mambo badala ya kujenga.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Watu aina ya Mpina, Lissu, Gwajima, Ndugai, Bashiru, Makonda ,Bashungwa, Heche, Biteko Mwabukusi ,wakiongoza Nchi , Kila Raia atakua na Furaha !!.

    Naenda na Dotto Makonda Mpina Naongeza na PM Kassim Majaliwa... Bashungwa naona wa kawaida sana. Gwajima porojo nyingi Bashiru siasa kali anaonekana ana balaa.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania wote tuachaneni na mwandishi huyu Mghana

    Sasa si uende kwa huyo Kohler,,, Uto kweli wenye akili wawili tu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Bila kuwa na katiba mpya itakayoondoa wabunge vilaza tutegemee migomo zaidi au pengine maandamano kama ya Kenya.

    Akili zetu bado zipo kuwaza kula, maana yake tunawaza leo hatuwazi vizazi vijavyo. Tukiacha kufikiri kwa tumbo na kufikiri kwa ubongo tutaelewa jinsi wanaojiita viongizi ni hopeless...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa kishindo uliopata CCM kwenye uchaguzi mdogo ni ishara ya kukubalika Kwa Rais Samia. Upinzani ujipange kweli kushindana na CCM ya Samia

    Ata Nkurunzinza wa Burundi alikuwa anashinda kwa vishindo kwenye chaguzi zake....
  6. T

    JamiiForums Tanzania True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    Achana na Madrid . Leta jina la huo mti kwanza.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Namba 2 mbona siioni wakuu. Nipeni msaada wa kuipata.
  8. T

    JamiiForums Tanzania True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    Tunasubiri muendelezo...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mpangilio wa vyeo vya JWTZ. Mwenye nyongeza tujuzane

    Mada nzuri.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Inteligensia chanzo cha utajiri

    Kwenye ulimwengu wa biashara, kuna kitu pia wanakiita ujasusi wa kibiashara, ambapo pia hauko mbali sana na ujasusi wa aina nyingine kama ulivyoainisha katika mada. Ili ufanikiwe katika biashara ni lazima ujifunze kuwa jasusi wa kibiashara na msingi wake tayari umeainisha.. Kingine pia cha...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Screen za smartphones unayonunua

    Uzi mkali
Back
Top Bottom