Recent content by tinya

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwanangu ananyonya sana!

    Kuna mahali nimesoma kuwa mbegu za maboga zinasaidia kuongeza maziwa..
  2. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mimba

    Kwa kalenda ya kawaida km alianza period trh 29 ina maana trh 18 hakuwa kwenye siku za kupata mimba. Km siku zake hazijibadilibadili
  3. T

    JamiiForums Tanzania Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

    Thank you gumboot
  4. T

    JamiiForums Tanzania RAI: Majina ya viungo na vyakula kwa kingereza na kiswahili

    Naomba ya Celery Parsley Thyme Star anise Bay leaf
  5. T

    JamiiForums Tanzania RAI: Majina ya viungo na vyakula kwa kingereza na kiswahili

    Mint =nanaa
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili Mimba isiharibike tena?

    Sababu ya kutoka?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Akiamka usingizini, anachoka kusimama

    Fuata ushauri hapo juu Halafu hakikisha anakunywa maji mengi
  8. T

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuongeza nguvu za kike

    Unamwandaa vyakutosha? Mazingira mnayofanyia ana amani nayo? Chunguza mlo wake: Ni mafuta mafuta tu:
  9. T

    JamiiForums Tanzania Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

    Habari wapendwa Naomba maelekezo na ushuhuda ikiwezekana namna ya kutumia mbegu za mnyonyo kuzuia mimba. Please msaada
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nini Kifanyike Ili Viganja Viwe Laini?

    Kabla ya kulala chukua maji ya uvuguvugu. Kamulia limau halafu ganda litupie humohumo. Loweka mikono yako kwa dk 15 Ukitoa paka mafuta ya nazi au Vaseline au ya mzeituni(extra virgin olive oil) kila siku. Halafu chagua sabuni zisizo na kemikali kali
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mi ndo mwenye maamuzi/sauti ya mwisho humu ndani!

    Hii ndio yenyewe
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 unayoyafanya yanayo haribu figo lako mwilini

    Mungu akupe maisha marefu Mzizimkavu
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Yuko humu Jamii Forums? Naweza pata namba yake?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    Habari za asubuhi wapendwa! Naomba kujulishwa/kuelekezwa au hata mawasiliano ya mtu mwenye mashine ya kutotolesha mayai Morogoro au Kilosa mimi niko Mikumi.
Back
Top Bottom