Nifanyeje ili Mimba isiharibike tena?

Pinkish

Member
Mar 8, 2014
11
0
Habari zenu wana jamiiforums.

Kwanza kabisa ningependa kuwashukuru nyote kwa msaada wenu, mimi nina miaka miwili katika ndoa yangu sikupata mtoto lakini nilijaribu kusoma ushauri wenu tofauti tofauti kuhusu jinsi ya kupata mimba, nashukuru nikafanikiwa kupata ujauzito mwaka huu mwezi wa kwanza, lakini haikua riziki yangu ikatoka mwezi 1.

Lakini kwa sasa nina ujauzito tena wa mwezi 1 naomba ushauri wenu je nifanyeje ili yasitokee tena kama ya mwanzo?

Asanteni
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
24,046
2,000
Mkuu mleta mada jitahidi kujibu hoja/maswali ili wataalam waone namna nzuri ya kukushauri.
Hongera naamini mara hii mambo yatakuwa mazuri sana.

***"""Mungu ni MwemA"""***
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
14,836
2,000
Mungu Atakulindia mimb yako ujifungue salama.

Je doctors walikupa sababu ya kutoka?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
102,762
2,000
Fuata masharti ya Dr... kula vizuri, kutumia vitamins unazotakiwa kuzitumia kwa ujauzito, hakikisha unapata mapumziko ya kutosha na epukana na kununanuna/kukasirika hili linaweza kuongeza blood pressure yako na hivyo kuathiri ujauzito wako. Hongera na kila la heri katika ujauzito wako.
 
Asante sana nitafata ushauri
 
Albosignathus

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
4,813
1,195
Habari zenu wana jamiiforums.

Kwanza kabisa ningependa kuwashukuru nyote kwa msaada wenu, mimi nina miaka miwili katika ndoa yangu sikupata mtoto lakini nilijaribu kusoma ushauri wenu tofauti tofauti kuhusu jinsi ya kupata mimba, nashukuru nikafanikiwa kupata ujauzito mwaka huu mwezi wa kwanza, lakini haikua riziki yangu ikatoka mwezi 1.

Lakini kwa sasa nina ujauzito tena wa mwezi 1 naomba ushauri wenu je nifanyeje ili yasitokee tena kama ya mwanzo?

Asanteni

Nenda hospt ya kariuki utapewa vidonge vya kuimarisha ukuta wa uzazi baada ya kupigwa utra sound.wahi hata leo nenda.itakuwa ulichomaga sindano wewe na kama ulichoma ni pm nikupe ushauri wa bure.
 
Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
6,107
2,000
Nenda kwa daktari wa wanawake umueleze utapata msaada,tena uwahi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom