Utakuwa una samaki aina ya "kigebuka"(kibamia)mkuu.amejitahidi kukizoea mwishowe kashindwa sasa kapata samaki aina ya "sato"(kiazi kikuu).we wa nn sasa.ikubari hali yako mkuu
We kweli shabiki wa simba.huko uliko nahisi hata haja kubwa imekutokaaaa...neno manji tu ndo uandike maandishi ya hasira namna hii!!!sio bure wewe lazima utakuwa umemeza wembe aina ya lion.ili usiliogope hili neno manji,mpe mwanao jina hili la manji au kama we n tasa ama mgumba,kipe kitu...
Kutoka jamboforums.com mwaka 2006 mpaka kuwa jamii forums mwaka 2008 ni takribani miaka 9 hivi...kwa nn usigundue miaka hiyo kama kuna wazee!!!!au umeanza kutumia smart 4n wakati wa makinikia!!!!?"PAMBANA NA UGUNDUZI WAKO"
We hujui kuwa wazee nao hawana heshima,kama wewe ulivyokuwa huna heshima..!!hapa ni hoja kwa hoja ama tusi kwa tusi.laana haiji kwa kutokujuana bali huja kwa kujuana."PAMBANA NA HESHIMA YAKO.
Kweli kabisaa ughwe ujobhile isya naloli.mfano saimon....... ni diwani mnyaki,mozes...... ni diwani mndali na jivava....... ni diwani mkinga nk[emoji122][emoji122]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.