Recent content by tinosospeter

  1. T

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Matatizo yapo huku mtaani kuna miradi ya uzoaji takataka imeshakuwa Keri maana kwa mwezi watu wanakusanya zaidi ya milioni 10 lakini mradi wenyewe kwa mwezi ni laki 4 tuu. Ukiuliza hizo milionis nyingine zinakwenda wapi hakuna jibu. Hii ndio nchi ya Tanzania ya Mama
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hii ya Sir Alex Ferguson kusafiri na timu imekaaje?

    Muacheni Babu afanye vitu vyake
  3. T

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi nafikir mngeweka utaratibu kama wa mitandao ya simu maana kunamuda tukinnunua umeme kwa njia ya simu mnakuwa mnachelewesha sana kuleta token
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

    UProfessor haununuliwi.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Chama cha CUF kususia uchaguzi wa Meya na Naibu Meya Manispaa ya Ilala

    CHADEMA matapeli
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hivi NEMC hakuna Mkurugenzi mpaka mwanasheria anafanya kazi yake?

    Ni kichekesho eti mwanasheria anafungia makampuni!!!:-!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Sefue: Tanzania kurudishiwa dola za kimarekani milioni 6 kutoka Stanbic Tanzania

    Jipu jingine nini?!!!
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tunaomba mhe Magufuli atembelee Mt Meru hospital

    Dawa yao imeshachemka tayari watapewa sasa hivi,
  9. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta Posho za vikao vya Kamati za Bunge na Bodi za Taasisi za Umma

    Posho za nin wakati ni sehemu ya kazi zao. Wakome sasa
  10. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa hana rekodi yoyote kiutendaji

    Ndio yaleyale umemaliza chuo alafu kwenye ajira wanataka uzoefu wa 3years
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Waziri Mkuu anaweza kumwamuru IGP kumkamata mtu?

    Kama kameambia afanyekazi lazima afanye ndio kazi yake.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wizara zinazofutwa hadharani

    Mi nafikiri itakuwa kama ilivyofanya wizara ya viwinda biashara na masoko kipindi hicho, baadae ikawa ikawa ni wizara ya viwanda na biashara, ile masoko ikawa idara na watendaji wake wanaendelea kama kawaida. Hata hii itakuwa hivyo.
Back
Top Bottom