Hii ya Sir Alex Ferguson kusafiri na timu imekaaje?

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
964
1,689
Kesho ndio ile fainali ya EUROPA kati ya Manchester United na Villa Real, moja ya vitu vilivyo nishangaza ni kocha mstaafu wa manchester united kusafiri na timu wakielekea kwenye fainali hyo maana yake hata mazoezini atakuwa na timu!

Sasa je, hii ndio umaanisha Ole ni kocha kivuli pale Manchester?

Ferguson karudi Manchester united kinyemera kwa mgongo wa Ole?

IMG-20210525-WA0011.jpg
 
Ua anasafiri timu ikicheza nje ya uingereza Ila si maranyingi. Labda Cha ajabu kuambatana na timu Ila inajulikana yeye maishayake yote alikua Man u Sasa ni ngumu kukaa nayo mbali. Ata Wenger anaifuatilia Sana Arsenal Ila uwa hasafiri nayo.
 
Unadhani kwenye Changamoto yoyote ya nchi mfano Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angekuwepo na Rais wa kipindi chochote baada ya hapo asingefurahia kuongozana nae / kushirikiana nae katika changamoto hizo

NB: Hapa naongelea Rais mwenye busara na hekima na sio umimi na kupenda ujiko....
 
Siasa na football bro! Wapi na wapi!
 
Back
Top Bottom