Kaka Hapa Mi Nilikuwa Nazungumzia Hawa Watu Wa Kawaida Ambao Wapo Kama Member Kwenye MITANDAONI,
Sijamaanisha Wenye App Au Tovuti Kama Hawa Kupatana,
Watu Wakawaida, Wanaouza Simu, Nguo N.k
haiwezekani Nitume Hela Kabla Ya Kupewa Mzingo, Na Mwenye Mzigo Najua Hawezi Kunitumia Bila Ya Kumtumia Hela Kwanza,
Sasa Hapo Nani Aibiwe??? Mi Sina Uhakika Kabisa Na Hizi Biashara Za MITANDAONI,
Bora Watu Wanafanya Hizi Biashara Wangejisajiri Tofauti Na Sisi Watumiaji Wa Kawaida, Yaani...
Naomba Mniwieradhi Watu Wa Usalama, Hii Post Yangu Si Nzuri Kiusalama,
Yaani Ninahaki Ya Kuonekana Mtu Mkosefu Na Ninyi Mnahaki Ya Kunitilia Shaka Juu Ya Hii Post,
Mi Nilipost Hivi Kwa Sababu,
Mi Na Rafiki Yangu Huwa Tunafungua Email kwenye Simu Za Watu, Sasa Rafiki Yangu Alifungua Akaunti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.