Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Watanzania wenzangu Katiba Yetu imeandaliwa kisiasa sana Na ndio maana wanasiasa wa nguvu Na maamuzi makubwa.Katiba Yetu inakipa chama cha siasa kuandaa Sera bila kujali zitatekelezwa Kwa Bajeti gani.Katiba Yetu inawapa nguvu wanasiasa kuwasimamia watalaamu ambao ndio wenye elimu Na ujuzi wa mambo ya kuleta maendeleo.Hivyo basis tusitarajie kupata maendeleo kupitia Wanasiasa tumejionea zaidi ya miaka 50 pamoja Na Raslimali tulizonazo zinazosimamiwa Na Wanasiasa hatuna maendeleo.Rais wetu Magufuli anahangaika sana kututafutia maendeleo siamini kama atafanikiwa Kwa Katiba hii.