Recent content by TinkerTailor

  1. T

    Mh. Pinda atetea mbio za mwenge

    WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ametetea umuhimu wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, akisema ni jambo kubwa lenye manufaa ambalo moja ya faida zake ni kuhimiza umuhimu wa kujitolea miongoni mwa wananchi katika kujiletea maendeleo yao. Aidha, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia...
  2. T

    Mbowe: Alichowasilisha Wenje ni Msimamo wa Kambi ya Upinzani

    Wewe unafuatilia siasa za Marekani au!? Kwasababu nahisi Marekani niliyotolea mfano si unayo ongelea. Point yangu ni kwamba upinzani wana haki na ni jukumu lao kuikosoa serikali pale wanapo ona imekosea. Namna ya kuongea kidiplomasia hilo ni swala lingine, naweza kufikisha mada yangu ya...
  3. T

    Mbowe: Alichowasilisha Wenje ni Msimamo wa Kambi ya Upinzani

    Hakuna nchi isiyo na wapinzani but in this case I meant political party(Democrats and Republicans).
  4. T

    Mbowe: Alichowasilisha Wenje ni Msimamo wa Kambi ya Upinzani

    Vita si dili tena, hata Marekani wanajizuia kupigana na Nchi.... sikuhizi dili ni kuelewana kisha wote mnakula plate moja kidogo kidogo mpaka mnatosheka, you move on. Kwa bajeti yetu hii, tuanze kupopoana na nchi jirani tena si tutaomba misaada mpaka next civilization. Hahaha!
  5. T

    Mbowe: Alichowasilisha Wenje ni Msimamo wa Kambi ya Upinzani

    Hivi nini maana ya Chama cha upinzani?! Kukubaliana na serikali katika kila jambo?! Kumbukeni Marekani na WMD za Iraq, anybody or any country can be wrong.
  6. T

    Hivi ni busara kwenda kusheviwa makwapa saluni?

    Hujawahi sikia bikini wax? Hahaha!
  7. T

    Ridhiwani Kikwete: Chalinze kujengwe kituo cha Biadhara kwa Mikoa ya Pembezoni

    Thumuni la maoni ni ili ya chambuliwe. Mheshimiwa kutoa haya maoni ni mwanzo wa kuwa na bunge la maana linalojadili hoja za maendeleo na si matusi na ngumi kila kukicha.
  8. T

    Ridhiwani Kikwete: Chalinze kujengwe kituo cha Biadhara kwa Mikoa ya Pembezoni

    Naunga mkono, swala la Reli kukarabatiwa vizuri na kuongeza mabehewa ya mizigo. Kujenga Maghala Chalinze ni kutupa pesa kama dhumuni ni kurahisha foleni Dar. Hayo maghala yanategemea vitu vingi kutoka bandarini, kwahiyo bado unahitaji malori na Magari mengine yasafirishe vitu toka bandarini...
  9. T

    Le Mtuz this is Too Low for You

    Hahaha! Like the comment.
  10. T

    Diaspora Mmelala: Mayor wa Alberta ana asili ya Tanzania

    Kenya benefit from diaspora remittance to upwards $1 billion/yr. Tanzania inaweza profit more than that wakipitisha dual citizenship. Tanzanians are making money all over the world but investing home it's an issue, buy,build a house or start business inabidi ufiche kwamba una uraia wa nchi...
  11. T

    Diamond: Kama ni shabiki au mfuatiliaji lazima uangalie hii

    I saw this kid last year on YouTube, he's got talent!
  12. T

    Hivi uwepo wa maafisa wa Ikulu wenye asili ya Rwanda na Burundi si tatizo kwa usalama?

    Judge me by the content of my character not ...... Nyiye ndio mnagawa nchi kwa ujinga, mzungu alitumia divide and conquer ili kapata urahisi wa kututawala, wewe unaitumia coz you are just plain stupid.
  13. T

    Hivi uwepo wa maafisa wa Ikulu wenye asili ya Rwanda na Burundi si tatizo kwa usalama?

    I was being sarcastic! Usikimbilie ku critic wakati hujaelewa meaning.
  14. T

    Hivi uwepo wa maafisa wa Ikulu wenye asili ya Rwanda na Burundi si tatizo kwa usalama?

    Tuzingatie pia ukoo gani unatoka, maana koo zingine zina matatizo mengi! Lol Mataifa mengine yanajaribu kuachana na ubaguzi na sisi tunakazana kupiga hatua kinyumenyume! Uhuru na Umoja kulijenga taifa! au ukabila na udini?!
Back
Top Bottom