Recent content by Tinamou's

  1. Tinamou's

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tupo wengi sana tu.....
  2. Tinamou's

    Wanafunzi wenye maambukizi ya UKIMWI wanathaminiwaje na kuepusha unyanyapaa?

    Wadau naomba kujua watpto wenye maambukizi, wanaosoma /kufaulu elimu ya sekondari wanathaminiwaje, na kupokewa mashuleni kama wale wasio nayo?na treatment kwao inakuwaje-hasa ikizingatiwa ni suala la unyanyapaa limetarajali bado....
  3. Tinamou's

    SOKO LA UYOGA ARUSHA

    Please wapi napata soko la uyoga?
  4. Tinamou's

    Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

    Nahitaji vifaranga wa kuchi...niko Arusha
  5. Tinamou's

    NAUZA UYOGA

    Bei T.shs.8,000/= kwa kg....0754564878
  6. Tinamou's

    NAUZA UYOGA

    Huu ni uyoga wa kupandwa, si wa kuokota maporini, umeandaliwa shambana kukuzwa kitaalamu.
  7. Tinamou's

    NAUZA UYOGA

    Niko magereza kisongo , Arusha-natafuta wanunuzi wa bidhaa hiyo....
  8. Tinamou's

    Kijana apata mchumba FACEBOOK na kumuoa ndani ya siku 6

    Hsjuna kujihoji.., amua na maisha yanaenda
  9. Tinamou's

    Mwandishi wa habari za michezo wa Bongo " Abidal asema Messi Alinibagua?"

    Ni kweli waandishi kadhaa wa bongo, bila kujitathimini uelewa wa kiingereza wanakurupuka na tafsiri fake tofauti na uhalisia wa habari yenyewe....hii ilinifanya kuacha kusoma magazeti kwa habari za nje, nikisoma labda ni za hapa kwetu-nayo kama nina muda huo;bora nizitafute toka vyanzo kupitia...
  10. Tinamou's

    Freeman Mbowe: Alichokisifia Lowassa juu ya utendaji wa Rais Magufuli sio msimamo wa CHADEMA

    Binafsi sioni sababu ya lawama kwa alichofanya Mkuu Lowasa, siasa si ugomvi au kupinga kila kitu...tunapaswa kujenga nchi kwa umoja wetu wote!!!
  11. Tinamou's

    TCRA yavipiga faini Vituo vya runinga ya Tsh. Mil 60 kwa kukiuka maadili ya uandishi na kutangaza habari za kichochezi

    Je, ni kosa kutangaza habari za kweli hadi kupelekea kupigwa faini?
  12. Tinamou's

    Wachezaji 3 wa green warriors hawana leseni

    Wanyama wameshajifia waacheni sasa!
  13. Tinamou's

    Mbunge wa Ubungo, Saed Kebenea(CHADEMA) akanusha kujivua uanachama wa CHADEMA

    .....watu wasiojulikana are looming large[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Back
Top Bottom