Tata Maestro
Senior Member
- Jan 8, 2017
- 169
- 175
Wadau,
Nimesekiliza watanzania tuongee magazeti ya radio free afrika leo hii, nikasikia habari ya kile alichosema Eric Abidal wakati amefanyiwa operation ya kansa ya ini wakati akicheza Barcelona nikasikitika sana. Ukisoma habari hii kwenye magazeti ya Spain kama Marca, Sport English na Mundo deportivo utaona ni tofauti kabisa na alichokiandika huyu mwandishi wa habari za michezo wa bongo maana habari hii imeanzia kwenye magazeti hayo. Moja ya kichwa cha habari cha habari hiyo ni hii hapa na hili ni gazeti la Daily Mail la England
Eric Abidal reveals Lionel Messi pleaded with him to not send videos to his Barcelona teammates whilst suffering from cancer because it upset the players too much
Kama kiingereza kina kupa shida bora uache siyo kuendelea kudanganya waswahili wengi wasio na furusa ya kusoma magazeti ya mbele au website za mbele za habari za michezo.

- Former Barcelona defender Eric Abidal was diagnosed with liver cancer in 2011
- He started to send motivational videos to his side as he continued his recovery
- Abidal revealed that Lionel Messi asked him to stop because it hurt the team
- The Frenchman also described how he cried when Thierry Henry came to visit