Recent content by Tina tina

  1. T

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Sitty aaaah! Rest easy.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane tukio la Ujambazi pale Ubungo Mataa mwaka 2006

    Hakuwa mwanajeshi na walimkamata mtu ambae anafanana sana huyo jambazi ambae tuna undugu nae. Amekaa ndani miaka kumi na tano mpka alipokuja kupatika huyu jambazi ambae alikua kikosi cha jeshi Zanzibar.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wale tunaopenda vacation, sehemu gani ya utalii Tanzania uliyofika au unatamani kufika?

    Tupeane na cost sio wote tunapafahamu
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kumshitaki aliyekuwa mpenzi wangu kwa kunitapeli tukiwa bado pamoja?

    Dada katumia fursa vizuri kabisa
  5. T

    JamiiForums Tanzania Geita: Ajali yaua 10 Bukombe, gari la Jeshi lilitokea Bukoba kwenda Dar

    Hii njia wanatusumbua sana hao wanajeshi barabara Kama yao. Kuna majeruhi mwanamke mmoja alikua kwenye msafara huo analia tu Mungu amsamehe na anasema akipona anaacha kudanga.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nataka nianze kula mjani

    Karibu kundini
  7. T

    JamiiForums Tanzania Nyama ya Nguruwe: Ni kweli ina vimelea hatari vinavyosababisha ugonjwa wa ini?

    Sie hatuli samaki na nguruwe mila zinakataza japo sio waislam maisha yanasonga.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

    Mwaka 2017 niliitwa kwenye usaili bila hata kua nimetuma maombi, Ni simu za hongera ndio zilinishtua mpaka nikafatilia nikajua ni ukweli bahati mbaya nilikua tayari harakati zangu zinazaa matunda sikwenda. Jiamini kijana hata Kama pepa imevuja bado unayo nafasi.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kisa kilichotokea wakati wa kutafuta mekyuri

    Mercury hii inayotumika machimboni kwenye dhahabu au nyingine? Mbona kuna kuna watu wanaiuza japo bei ghali lkn sijawahi kusikia hizo story za utafutaji wa aina hio. Matapeli ni wengi kuwa makini.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

    Baada ya kusoma nimemkumbuka babu yangu Mayunga. Kumbe simulizi zake za ukweli japo kigo chake kina utata
  11. T

    JamiiForums Tanzania Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

    Kwenye maisha usikubali kurudi nyuma hasa katika maswala ya mapenzi. Msimamo ndio nguzo pekee usiyumbe kijana.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wale wanaouza mabegi, vitenge kwa mnada na kurusha pale Ilala na Karume ni matapeli

    Hao wapo nchi nzima na si matapeli wana usajili wao wako hapo kihalali kufanya mnada wao. Tz wanapenda vya bure kwa bei Chee! Sasa hao wanachofanya ni kuuza bidhaa za low quality kama Ni t-shirt Ni zile za kchovya vitenge unaambiwa ni wax lkn Ni teleza ya Kenya au laknan zawadi Ni wanazotoa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki dunia

    Pole sana kwa wazazi na namuombea kijana apumzike kwa amani.
  14. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Afya ya akili: Jinsi ya kutambua na kujikinga na magonjwa ya akili

    Namba 2, 5, na 6 ni mimi kabisa.
Back
Top Bottom