Recent content by Tina martini

  1. Tina martini

    Ninajihisi mjamzito, lakini sikumbuki ni wa nani

    Pambana na hali yako ya uzembe hamna jinsi Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  2. Tina martini

    Kwa wale waliowahi kutoa mahari halafu wakatamani/wakaingia mitini

    Mahari ni tone la maji kwenye maumivu ya ndoa ya milele isiyo vunjika itakayo kuwa na maumivu yasiyo mfano yenye kuweza chukua maisha yako Mkimbie huyo mwanamke tafuta chaguo lako sahihi Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  3. Tina martini

    Full Time: Mwadui FC 2 - 2 Simba SC kutoka dimba la CCM Kambarage, Sinyanga

    29 boko anatoka 33anapokea shuti lilipigwa kama faul anashindwa kufunga na anajikuta offside.Je aliingia tena baada ya kutolewa [emoji32] Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  4. Tina martini

    Masoud Kipanya anafanya biashara gani hadi aendeshe magari ya kifahari? Mwenyewe amejibu..

    Miaka ya nyuma kulikuwa na kazi za kiume na za kike za kiume ni kubeba zege kuzibua vyoo etc na za kike ni kukaanga vitunguu na kupika huku kavaa kanga moja na kupiga story za watu ambazo wala haziwahusu na wala hazina faida yoyote sasa wewe mleta huu Uzi naona wewe unafanya hii ya kina mama...
  5. Tina martini

    TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

    Hakimu na mahakama ni watoto alio waacha wakiwa wakubwa wakijua story itamtesa sana huyu mwanamke Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  6. Tina martini

    TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

    Nshayaona kuna wazee flani hivi walikuwa na vipato vizuri sana miaka hiyo katika mialiko yao ya sherehe za familia mmoja wao mke akamfanyia kituko cha dharau mbele yao muda uleule mzee akajiua,akatokea mzee mwingine akansema sana marehemu kwanini ajiue sababu ya mwanamke?wiki moja baadae...
  7. Tina martini

    TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

    Wengi tuu hata aliyesababisha mama yake kuuawa na mchumba ake kujiua kibamba kwa kujipiga risasi si anafunda tuu kwa raha zake hadi leo?Mungu ampumzishe Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  8. Tina martini

    TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

    Yasikie kwa wenzio mwombe Mungu akuepushie P.I.P Yona Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  9. Tina martini

    Makanisa mpunguze michango jamani. Hasa RC, kuna nini siku hizi?

    Si uache ukae bila dini kama unaona kero!Miaka ya nyuma makanisa yalitegemea wahisani ambao ni kutoka Ulaya na Asia sasa hivi hawatoi tena nao wamechoka,wahisani waliobakia ni waumini wenyewe sasa wewe unategemea kanisa linengwe na nani kama sio wewe muumini?kama unaona vipi achana na makanisa...
  10. Tina martini

    Wanawake wenye matege ni watamu balaa!

    Niwashauri wanawake wasio na matege wavunje miguu yote kwenye mapaja afu Dr aweke pop likae kiutege tege kwani naona soko lishapatikanaa doooo siyo kwa utege huo
  11. Tina martini

    Rais Magufuli asema ana taarifa kuna kiasi cha dola bilioni moja zimekamatwa uwanja wa ndege Dsm!

    Hapa mwenye hela alikuwa anakwepa kuzilipia kodi ndo maana alikataa kujaza fomu ili tra waone kodi yake hapo ni bei gani alvogoma ndo yakaja ya longolongo angejaza fomu na trawakachukua kodi yao wala isingekuwa habari Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  12. Tina martini

    Waume za watu bidhaa adimu

    Tutajuaje siye tulikuwepo maneno mdomoni lakini rohoni ukweli wootee Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
  13. Tina martini

    Waume za watu bidhaa adimu

    Usikariri mkuu Tina ni kifupi cha jina langu kwa kiluga mimi ni shababi la anarii mwanamme
  14. Tina martini

    Waume za watu bidhaa adimu

    Ila kiukweli mke wa mtu ni mtamu sana kwa mume wa mtu kwani mkiachana jioni kila mtu na hamsini zake kila mmoja anakuwa analinda ndoa hampigiani sim bila utaratibu au usumbufu kulinda mahusiano ya mchepuko wake na ndoa at the same time
  15. Tina martini

    Waume za watu bidhaa adimu

    Hiyo huduma ya bure haijawahi muacha mtu hivi hivi salama[emoji32]
Back
Top Bottom