Recent content by Timotheo mwakijungu

  1. T

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nimekuelewa sana mkuu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa uma kutoka serikali ya wanafunzi UDSM

    Ngoja nilete ya Sua, mkopo WA MTU kwa mwaka
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    Naona ww ulitumia hivo, watoto wa maskini wanaumia wewe unaleta utani
  4. T

    JamiiForums Tanzania Je kwa waliopata report kama hii kuna aliyewahi kupigiwa simu kutoka chuo husika?

    Inaonekana huenda alikosea kujaza information zake wakati WA Ku apply ama kulikuwa na sheeda kwenye entry requirement za koz alizoomba... Ila anaweza pata Chuo hata sasa kama akirekebisha
  5. T

    JamiiForums Tanzania Je kwa waliopata report kama hii kuna aliyewahi kupigiwa simu kutoka chuo husika?

    Arekebishe vzr hizo personal details fasta
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hatima ya wale wasiokwenda kuhudhulia vyuo vyao mwaka jana

    Ukitaka kuomba tena au kama umeomba pia unatakiwa kuchukua barua kwenye chuo ambacho hukwenda wadhibishe ww sio mwanafunzi wao then ipeleke tcu watakupa chuo kingine, bila hiyo barua hata kama umeomba watakutema. fanya hivo ndg
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kuweka Huawei na Tecno kwenye kundi moja kiubora ni sahihi?

    Top Ten Best Smartphone Brands - TheTopTens® tembea na link uone makampuni 10 bora ya smartphones dunian la kwanza samsung then apple ... techno hata kwenye best 10 haipo
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kuweka Huawei na Tecno kwenye kundi moja kiubora ni sahihi?

    Ng'ombe hata akonde vp hawezi kuwa sawa na paka aliyenenepa, nina maana still samsung is the best.
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania pulls out of East Africa Common Visa Plan

    Asante Tanzania, nchi ya watu wenye akili nyingi, nadhani wataielewa Tanzania baadae kama haiwaaffect kwa lolote kinachowafanya walalame ni kipi
  10. T

    JamiiForums Tanzania Pesa za mitaji hizo vijana kachukueni

    Asante kwa taarifa naitendea kazi mapema jaman mwenye sample ya katiba atusaidie plzzz
  11. T

    JamiiForums Tanzania Anayejua namna ya ku apply scholarships za masters za nje msaada wa maelezo plz

    Hello, anayeelewa jinsi ya kuomba masters zinazotangazwa na nchi zilizoendelea anisaidie plzzz. vigezo vyote ninavyo kwa ajili ya masters 2017/2018 na nimeona application nyingi zinafungwa october.
Back
Top Bottom