Recent content by TimeOut

  1. TimeOut

    Huduma za Fr Felician Nkwera bado zinaendelea?

    Katika dini za ajabu nilizo wahi ingia ni kwahuyu mzee na kanisa moja wanajiita FARAGHANI ila hawa Faraghani mpaka leo hua nawatafakari sipati majibu, kipindi hicho kanisa lipo kimara matangini
  2. TimeOut

    Waziri Biteko: Suluhisho mojawapo la Uhaba wa Umeme ni kukamilika kwa mradi wa Bwawa la Nyerere

    Hivi!?🤔 Tukianzia na archtecture wa hii project, tuje kwa ma engineer haya yoote hawakuya fanyia tadhimini mpaka kufikia utekelezaji!
  3. TimeOut

    Urusi inaingia rasmi Afrika kupitia Mali

    Hapo wamemkaribisha shetani mlangoni
  4. TimeOut

    Post nut clarity is real

    Ujinga mwingine bhana
  5. TimeOut

    Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

    Nawatetea! Wengine wapo creative and hardworking sana
  6. TimeOut

    Hivi wanawake ni viumbe wa aina gani na wanataka nini hapa duniani?

    Ukitaka kuishi nao, usimchukulie kama mtumzima mwenzio hata awe amekuzidi umri, mchukulie kama rafiki na swala la mapenzi lije mwisho na pia umchukulie kama vile ni mtoto wako wa kwanza wa kike na uwe na pesa, tofauti na hapo naona haiwezekani, utawachukia bure viumbe vya mwenyenzi Mungu upate...
  7. TimeOut

    Hii tabia ya Wanaume kuwatelekeza watoto wao inanichefua sana na kunihuzunisha

    Haya ma pepo ukiwa zuzuta yana uwezo wa kukufanyia chochote wallah
  8. TimeOut

    Kuna wanawake waliosalimika

    [emoji2960][emoji1787][emoji1787]
  9. TimeOut

    Hii tabia ya Wanaume kuwatelekeza watoto wao inanichefua sana na kunihuzunisha

    Unakuta kamjibu " hata hawa watoto si wako " " uwezo huo uutoe wapi " unafikiri inakuaje
  10. TimeOut

    Maji ya baraka ya (RC) vs maji ya upako ya (Mwamposa)

    RC wananikera na kunifikirisha haswa kile kidude wanacho chomaga kutoa moshi na hapo ndio hia sielewi
  11. TimeOut

    Hii tabia ya Wanaume kuwatelekeza watoto wao inanichefua sana na kunihuzunisha

    Mwanaume hua hakimbii changamoto huwa anapambana nayo ila kwa kesi hizi wadada wenye hua ndio husababisha kwa asilimia fulani haswa kutokua stable kwenye nyanja ya mahusiano
  12. TimeOut

    Mwaka 2004 nilikatwa mapanga na vibaka mkoani Geita nikisotea kazi Mgodini mpaka leo sijatoboa nauza Kangala tu

    Maisha bwana! Mungu atunusuru tu na majanga hujafa hujaumbika, pole sana mkuu! Ulipata ulemavu au ndio baada ya tukio akili ilibadilika kabisa
Back
Top Bottom