Recent content by time theory

  1. T

    It is a mistake to think time is going, time is here until the world ends

    Kila kitu Ni ubatili, nothing is real. Tuendelee kufurahia kuigiza
  2. T

    Ifahamu A-10, au wenyewe hupenda kuiita "Kifaru Kinachopaa"

    Haya mambo sio ya kufurahia kabisa,huwezi kuumiza kichwa kiasi hiko ili tu utengeneze silaha ya kuua mwanadamu mwenzio. Wanadamu Tunaumwa
  3. T

    Teegarden B: Sayari Yenye Uwezekano Mkubwa Wa Maisha Ya Alien.

    Hatutakaa tutengeneze???? Miaka Mia iliyopita ndege za kwanza zilikuwa zinatembea kwa 20 km/h sasa hivi ndege zinafika Hadi 7000 km/h. Never say never........ Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    Nakupenda sana Shetani

    Ha ha ha haaa naona wadau mmeamua kuua hii biashara ya mzungu[emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    Majibu ya kuridhisha ya hili swali yatajibu maswali yangu mengi sana katika imani

    Humu ndani naona ukikaa kimya Sana unajifunza zaidi kuliko kuandika zaidi,mfano nimejifunza kila mmoja humu anaona yeye ndio Yuko sawa kuliko mwenzie. Nahisi Kuna walio sawa zaidi Ila wamekaa kimya kwavile hatujaonesha Nia ya kutaka kujifunza zaidi ya kujifanya tunajua. Tutoe nafasi kwa...
  6. T

    Death and immortality; Is there life after death?

    Uko vizuri mkuu,endelea kufungua watu macho. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. T

    Majibu ya kuridhisha ya hili swali yatajibu maswali yangu mengi sana katika imani

    Ndugu ukichukulia vitabu vya dini kuwa ndio chanzo chako pekee Cha kuyajua masuala ya ulimwengu wa kiroho nk,Hutafika popote. Angalia na wengine wanasemaje kwa kuondoka kwenye mtego wa kuambiwa kuwa hayo Ni maneno ya Mungu,matakatifu nk FUNGUKA Sent using Jamii Forums mobile app
  8. T

    Hakuna dini wala imani ambayo Mungu ameileta kwa wanadamu.

    Mleta mada nakubaliana na wewe kwa asilimia nyingi sana. Ila ingenoga kama ungefafanua ama kutueleza kwanza kuwa Mungu ni nini/nani? Wengi SANA tunadhani tunafahamu ila nahisi bado hatujaelewa somo. Nahisi hata mimi bado sijamuelewa bado. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. T

    Gaza: Waisraeli waua Wapalestina 41 na kujeruhi 1,300 kati ya 35,000 walioandamana kupinga uzinduzi wa Ubalozi Jerusalem

    Huku israeli wakatili kupindukia huku palestina hawana akili hata kidogo. Hapo kazi ipo
  10. T

    Hali mbaya Bandarini/TRA, watu washindwa kukomboa mizigo yao!

    Mkuu mbona unatetea sana kwa kulazimisha hoja mfu ya kwamba mfanyabiashara hawezi kuagiza kitu akashindwa kukikomboa??? Asishindwe yee nani?anazalisha hela nyumbani kwake? Kama uchumi ukiyumba yeye asiyumbe kwanini? Hivi unajua mpango sio matumizi??? Wangapi wameshindwa kulipa ada za watoto wao...
  11. T

    Kero: Tozo kubwa inayolipwa na wananchi daraja la Kigamboni

    Mzee kama hailipi acha gari,nafahamu watu wengi wanao kaa huko hawavuki na magari kuja kazini. Kumbuka zilizojenga pale sio hela za serikali,ni hela zetu sisi wanachama wa nssf sasa unafikiri zitarudije!? Au mafao yetu tutalipwaje wakati miradi kama hiyo ya mfuko ndio inayofanya mfuko usimame...
  12. T

    Shirika la ndege la Ethiopia (Ethiopian Airlines) kununua ndege 10 aina ya bombardier Q400.

    100% ya watz wanaongea kiswahili,je kingereza mashuleni kina tija gani? Ukisahukuwa negative akili inahamia ..........
  13. T

    Video: Hatimaye Iran waachia video ya jinsi makombora yao yalivyohit Israel jionee mwenyewe

    Mi sijaona udini mpaka sasa,labda kila mtu na mtazamo wake.
  14. T

    GoK can't afford 2nd runway for JKIA

    Seriously wewe kama ni mkenya kweli kama jina lako linavyotanabaisha,unasikia raha gani kila lililo negative kwa nchi yako ndio unalolifurahia!? Kazi ipo kwakweli,mimi sio mkenya lakini sikuungi mkono.
  15. T

    CEO ajaye wa Vodacom Tanzania anapingwa kwasababu ni Mkenya au mgeni?

    Bado sijakuelewa na nahisi sitakuelewa,ila nikukumbushe kuna watu kibao hukataa kuajiri ndugu zao kwenye kampuni zao. Sio kwamba hawawapendi,laa! Hata huku tz wapo wakenya kibao kwenye ofisi kibao na mitaani. Na tokea mwanzo kila ukinijibu huongelei ishu ya ushindani,unaangalia vitu vingine...
Back
Top Bottom