Recent content by tilito

  1. T

    Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

    CONTROLA, ]Hizi mambo za fuckmate ni ngumu sana mwisho wa siku lazima tu mtadevelop hisia za mapenzi na hapo ndo shida inapoanziaga sijui wenzetu wazungu huwa wanaweza vipi??kama mm siwezi kabisa nitakufa na wivu bure.
  2. T

    Wanawake tumekuwa tukiwaweka wanaume kwenye ‘friend-zone’, sasa wamekuja na hii

    Hah haha haha haha lool yan nimecheka sana kwakweli aya asante tumeelewa ngoja tuwe makini.
  3. T

    Na mimi ni banker yamenikuta-mrejesho

    Na wadada wa bank jaman Mungu anawaona kwa maringo.wakati wana tabia mbaya kwel huwa wanachungulia account za wateja wakiona zina pesa nyingi ndo wanaanza kujipigisha visimu hasa CRDB na wengine wanafika mbali hadi kukopa.wanawake wabank wapo cheap sana kwa wanaume ambao account zao zinasoma...
  4. T

    Na mimi ni banker yamenikuta-mrejesho

    Hah hah yan kama umeniongelea mimi walai....yan mm nilikuwa najua wana pesa hatari kumbe wana hali ngumu tu...kuna siku nimeenda bank nikaondoka bila kutoa tips lool walipiga simu hao ya kusalimia hatari maana Nilikuwa nimewazoesha.na wanaishi maisha magumu maana pia wanataka kumantain status...
  5. T

    Rais ataka wenye vitambulisho wasitozwe ushuru wala tozo

    Hiki kitu serikali iangalie kwa makini sana maana halmashauri zitashindwa kujiendesha kabisaa.maana mapato makuu ya halmashauri nyingi ni huo ushuru sasa kama haikusanyi ushuru hata vikao vyake vya ndani wataenda vipi hasa vikao vya madiwani na nk. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. T

    Rais ataka wenye vitambulisho wasitozwe ushuru wala tozo

    Hilo ni tatizo kubwa sana halmashauri zinakosa kabisaa mapato hata posho za madiwani zinakuwa ni shida.na ivo vitambulisho unakuta mtu anauza ng'ombe 50 had 100 alafu ameshika kitambulisho.yan ugawaji wa ivi vitambulisho ni shidaaaa na ivi havina jina la muhusika yan wanapeana kama pipi Sent...
  7. T

    Video: Azimia jukwaani baada ya kutumbuliwa na Makonda

    Ngoja tu nikwambie stupid ndo neno linalokufaa huna akili hata kidogo na hufai kata kwenye jamii
  8. T

    Mwanamke isijihangaishe, mwanaume anajua anachokiona kitaka

    Pia hata zaburi 8 mstari wa kumi na saba tunaambiwa tuwapende wanaotupenda.
  9. T

    Mwanamke isijihangaishe, mwanaume anajua anachokiona kitaka

    Uwiiiiii nimejiona mimi kwakwel ,,yan ulieandika hii kitu utazani utazani ulikuwa unaniandikia mimi ,barikiwa sana dear ila nashukuru mungu nilishasepa zamani maana niliona huu ni ujinga mtu akupi hata mia na wala sihitaji mia yake mimi nataka upendo wake tu na hakupi aaaah..nimeacha kwakwel na...
  10. T

    Kuhusu Wastara, Hapana TUMSAIDIE!

    Kwenye harusi ya shilole walitoa pesa nyingi sana na ahaf kibao wasafi walitoa noah ya milioni 9 kweli hizo pesa zoote si wangemchangia mwenzao mgonjwa..tatizo hawa wasanii wana dharau sana kwa wananchi wa kawaida ambao wakipata shida ndo wanawarudia hao hao. Pili walitumika sana na CCM bila...
  11. T

    Kuhusu Wastara, Hapana TUMSAIDIE!

    Kwakwel CCM impeleke hospital maana aliwatumikia kwel kwel
  12. T

    Tetesi: Diamond kumjengea bonge la jumba na kumpa baadhi ya mali zake baba yake wa kambo

    Mmmh ni sawa kama dini inasema ivo ila Kwakwel inabidi kuangalia na mazingira yenyewe mama una watoto unahangaika nini kwenda kuolewa na vijana bora angeolewa na mzee mwenziye ni sawa. Hata uyo mkaka nae hajielewi anamuoa bibi mwenye wajuu ili iwaje?wataweza kweli kutengeneza familia???? Yan...
Back
Top Bottom