Rais ataka wenye vitambulisho wasitozwe ushuru wala tozo

Rais ataka wenye vitambulisho wasitozwe ushuru wala tozo

Kama sio watumishi WA halmashauri , kama ndio hivyo basi kila mtu asafishe eneo lake la kazi hapo sokoni ,
Only you need to do in your life, is to looking forward and not back... hizo akili zilishafail hali uionayo ndio issue zinamove utaniambia kama serikali kuu itachangia unit pls na mwishowe ushuru utarejea as usual. .. muhumu kusimamia mapato yasiibiwe nothing else
 
Hiki kitu serikali iangalie kwa makini sana maana halmashauri zitashindwa kujiendesha kabisaa.maana mapato makuu ya halmashauri nyingi ni huo ushuru sasa kama haikusanyi ushuru hata vikao vyake vya ndani wataenda vipi hasa vikao vya madiwani na nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom