Recent content by TikTok2021

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kwa Rais Samia: Namna ya Kulimaliza Suala la Bandari kisiasa

    hii issue ya DP world imeshika kasi kuzidi moto wa petrol,watanzania wanaamini bandari imeuzwa 😃 hilo ndio lilowajaa moyoni huu ufafanuzi unaotolewa na serikali sijui kupitia clubhouse sio wote wanaofuatilia na kujua wao wanachojua hii kitu ya dp ni BATILI. INAHITAJIKA NGUVU YA ZIADA KUWATOA...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Professional HR natafuta kazi

    Habari wanajamvi, Kwa mtu mwenye uhitaji wa professional HR anicheck DM. Kwa sasa ninaishi Dar es Salaam ila naweza kufanya kazi sehemu yoyote. Natanguliza shukrani.
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Hayati Magufuli: Pata picha saa 8 za usiku mtu anaweka hadi nne akisoma mlichompelekea

    March 2021 Taifa lilipoteza mtu makini sana
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi afafanua mkataba wa Bandari

    DUBAI NI NCHI AU MJI?
  5. T

    JamiiForums Tanzania AFRICA Corruption: How Dubai Firm DP World Plots To Fraudulently Secure Control Of Walvis Bay Port

    hakika hawa ni majambazi hiyo IGA iliyosainiwa ivunjwe
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina alikuwa sahihi kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu

    Mpina ana hoja za nguvu na maana wakati wote na ni MKWELI
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ocean Gate yatangaza safari nyingine ya kuangalia Titanic

    😂 😂🤣😆😀😃
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea Iringa nadhani viongozi wanaohusika na wanyamapori watumbuliwe

    hadi wauwe watu ndio serikali itaamka kutoka usingizini na kujifanya tutagharamia mazishi etc...... hii nchi ya ajabu sana uwajibikaji 0 mpaka madhara yatokee ndio watu wanashtuka...... sijui ni lini tutakuwa serious na mambo
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi wa Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali

    4 out of 5 muslims and only 1 Christian 😁
  10. T

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

    team makasuku wanahaha wamefika hatua hadi kama wanaona aibu kuendelea imagine darasa la 7 b wanashindana na maprofesa..... wataweza kweli?????
  11. T

    JamiiForums Tanzania Profesa Shivji: Mkataba wa Bandari unaegamia zaidi upande mmoja na hauna ukomo wa muda. Hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile

    k kabisa maana hili suala la bandari kuna viongozi wamewageuza wananchi mazuzu imagine mpaka mwanasheria wa serikali bwana feleshi katetea ujinga huu leo lakini watu wanazidi kuibuka na kusema mkataba ni fanfwa haufai Mungu aingilie kati maana kuna wachache wanaangalia matumbo yao tu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Popote alipo namtafuta Mzee Jakaya Kikwete aweke neno kuhusu haya

    vyote vilishasemwa marudio ya nini na ndio mana nasema huyo mzee wenu hatakuwa na jipya nimependa hapo uliponiambia le genius 😄
  13. T

    JamiiForums Tanzania Popote alipo namtafuta Mzee Jakaya Kikwete aweke neno kuhusu haya

    usitegemee kama ataongea kitu cha maana juu ya bandari zaidi ya kuunga mkono juhudi za uwekezaji hatutaki kusikia chochote kutoka kwake kwa sabau kutakuwa hakuna jipya
Back
Top Bottom