Recent content by tikok

  1. T

    Matola anatosha

    alisema gentamicin hata mwezi haujaisha tayali yametimia
  2. T

    Kwa nini jengo linapata nyufa

    Ni mambo mengi ntakuja eleza mkuu
  3. T

    Kwa nini jengo linapata nyufa

    Hizi hazina madhala ila lazima zizibwe kwa sabab zikiachwa huendelea kuna namna nyingi ya kuzibit mojawapo ni kuziba kwa kutumia coftel wire na cement
  4. T

    Kwa nini jengo linapata nyufa

    2. Nyufa zisizo za kawaida hizi ndio nyufa hatari kwa usalama wa jengo hizi huanza kwenye kuta za juu mpaka kwenye msingi zipo sababu nyingi zinaweza kusababisha hali hii (a)Msingi kushindwa kupokea zito wa jengo na kutawanya kwa sawa chini ya ardhi (b)Kujenga msingi kwenye ardhi inayo tanuka na...
  5. T

    Kwa nini jengo linapata nyufa

    Nyufa zinazo tokea kwenye jengo zipo za aina mbili. 1 Nyufa za kawaida hizi ni nyufa ndogo ndogo zinazosababishwa na jinsi tofali zilivyo jengwa (bonding) /Resho ya kujengea na mitikisiko midogo midogo na hizi nyufa huwa hazifiki kwenye msingi wala kwenda juu usawa wa beam nitaendelea. 2...
  6. T

    Makomando na askari wa karne hii ni watu wenye nguvu za mwili au wanapaswa kuwa watu wenye upeo mkubwa wa kufahamu mambo(IQ kubwa)?

    Unauwenzo Mkubwa wa kuona mambo na kufikiri mkuu hili tatizo haliko kwenye majeshi tu ni kwenye. taasisi nyingi ,jalibu kufikiria mkurugenzi au mkuu wa wilaya anaeteuliwa kwa kigezo cha kada mtiifu akifika tu kituo cha.kazi anawagawa watumishi wakuu wa idara hawapani na wachini yao ofisi zinajaa...
  7. T

    Jukwaa la ujenzi wataalam wanatuangusha tuwe tunaweka nyuzi ambazo zitasaidia sekta ya ujenzi

    Mimi binafsi nimeamua kuanza kushusha. nondo zitakazo ibua hoja fikilishi maana naona waendelezaji majenzi ndio wanao omba ushauri na kujipa. ushauri wenyewe
  8. T

    Wakili wa Sabaya aomba michango kwa ajili ya kuendesha kesi

    Jamani nashauri tumchangie najua ameumiza watu wengi kwa wale wanaopenda haki na utawala wa sheria si jambo baya tunataka akifungwa yeye na wapiga debe wake wasiseme nimefungwa kwa kukosa uwezo wa. Kuajili wanasheria
  9. T

    Nasisitiza hili kwa wanawake wenzangu, fungueni hayo masikio mpate kusikia

    meth 21:9 ni afadhali kukaa katika pembe ya darini kuliko nyumba pana na mwanamke mgomvi
  10. T

    Upepo wa balcony unashawishi sana kujenga ghorofa, kumbe unaweza kuupata pasi ghorofa

    Hapo kwenye hio balcony unakaa kama kenge manyunyu ya mvua yakianza tu nakimbia ndani
  11. T

    Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu

    Sio kweli ni muhimu mtoto apate elimu nzuri pia tujue tunazalisha kizazi cha aina gani kwa mtindo huu uliopo hatuwasaidii. watoto maana tumekuwa na watoto wa nadharia sana watoto ambao hawapendi kujishughulisha akitafutiwa kazi anakataa mtoto ambae hawezi kuwa baba imara au mama imara Toto...
  12. T

    Kwa milioni 4 ninunue gari gani lililotumika?

    Kuna watu maendeleo kwao ni kuzungukwa na watu duni ukitaka kujenga watakwambia oooh ni gharama hio hela haitosh hata kiwanja ukitaka gari oooh hiyo hela kawekeze alimladi wawakatishe tamaa wenzao kwa kifupi ni tabia za kichawi
  13. T

    Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

    Yah michae Katembo na kipindi cha ngoma zetu Deborah mwenda na kipindi cha mama na mwana dah hapo tupo na ugari maharage yalioungwa na binzari
  14. T

    Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

    Watangazaji RTD julias nyaisanga /Jakob tesha Dominic chilambo/Ahmed kipozi na Sango kipozi
Back
Top Bottom