Recent content by Tigershark

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kero za Muungano, waandishi wa habari wamelala!

    Mkuu naomba utusaidie Wana JF kama unazijua kero alizoagizwa Dr Philip Mpango akazitatue na utupe namna alivyozitatua kama tulivyotangaziwa!
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kero za Muungano, waandishi wa habari wamelala!

    Nipe link!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kero za Muungano, waandishi wa habari wamelala!

    Yaani siku gazeti likija na heading "Zijue kero za Muungano na zilivyotatuliwa na SSH",nadhani litaisha sokoni upesi!
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kero za Muungano, waandishi wa habari wamelala!

    Habari wanajamvi? Kuna hili suala la Kero za Muungano zilizogonga mwamba kutatuliwa Kwa awamu nyingi zilizopita!Lakini awamu hii ilipoingia tulitangaziwa kero hizo zilizosumbua sana zimetatuliwa chini ya SSH ndani ya muda mfupi! Ajabu ni kwamba waandishi wa habari wakabeba taarifa kama...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Musa utaona ya Bunge kuoneshwa LIVE leo bila uwepo wa wapinzani bungeni

    Sababu zilizotolewa na serikali kuzima bunge! 1. Bunge live ni gharama Dana 2. Bunge live kinafanyika watu wasifanye kazi! Ajabu ni kuwa sasa watu wamelipuuza bunge! Wao wenyewe wanatamani watu walifuatilie bunge kama zamani
  6. T

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka kuhama tiGO mhame, ila wako sahihi kwani kokote duniani Maslahi ya Taifa yako juu ya haki za mtu binafsi

    Magufuli alikuwa anadukua sms za viongozi,hadi wale wanaotongozana!
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikwamisha ndoto zako za kutoka kimpira?

    Masomo na Pombe!
  8. T

    JamiiForums Tanzania CCM: Maelekezo ya chama kwa Serikali katika Wizara ya Fedha

    Uzi umedorora
  9. T

    JamiiForums Tanzania Serikali na kampuni za simu zilivyotoa watumiaji kwenye reli

    Nimelazimika kuhamia TTCL kutoka vodacom!
  10. T

    JamiiForums Tanzania Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!

    Hilo la gawiwo😂😂
  11. T

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Atapigwa chanjo kimya kimya huku akisema tuachane na chanjo za mabeberu
Back
Top Bottom