Recent content by Tiger 4

  1. T

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu na akili zako timamu unawezaje kufanya kazi ya malipo laki na hamsini Kwa mwezi

    Sema inategemea, kuna sehem unalipwa 150K lakn kuna mishen-town mpaka hata 700k
  2. T

    JamiiForums Tanzania Gari lililowahi kumilikiwa na watu wengi eneo fulani utakapopita nalo linahitaji moyo kulifurahia

    Elewa neno gari 'Kumbe hii post haihusiani na magari'
  3. T

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Tukio katika video linaonesha maji yakisomba magari

    Imetengenezwa hyo, watu wakae wanaangali bila kukimbia maji yawasombe tu? Akili mnemba
  4. T

    JamiiForums Tanzania Hii mbunga imekimbiwa awamu hii, watu wanaishi mjini

    Kwa upande wangu nakubaliana na Hayati Magufuli. Kwa sisi wakazi wa DAR tunaona adha ya viongozi kuwa wengi huku mjini. Barabara kufungwa, foleni kutokana na misafara, traffic na polisi kila kona. Nchi inapanuliwa kwa kuhamisha vitu vingine kwenda mikoa mingine ikizingatiwa DOM ni mji wa...
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuzaa mapema ni kujiongezea majukumu yasiyokuwa ya lazima

    Nahisi kila mtu aheshimiwe na mtazamo wake hata kama it doesnt make sense at all. Sio sawa kuaminisha watu mtazamo wako usio na kichwa wal miguu. We mature by responsibilities not by age. With your mentality, you will mature during menopause.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Picha yenye maana kubwa na kufikirisha

    Ukiwa unakula vegetables unapata virutubisho directly ila ukila nyama unavita passive. Mfano tembo anapata directly ila simba akimla tembo anavipata passively from the eaten meat. Nahisi ukijiendekeza kuwa veg unaweza kuja kuliwa, that is my take
  7. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi maumivu baada ya kugundua viashiria vya Usaliti

    Tafuta pesa, pesa ni sabuni ya roho, pesa haiwezi kukusaliti
  8. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kujiuzulu, kitengo cha majanga kimemshinda

    Nahisi changamoto tulio nayo ni kutokuwepo kwa ERP (EMERGENCY RESPONSE PLAN) Hakuna set of protocols or procedures that guide people wht to do when a certain incident or accident has occured.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

    Nadhani itoshe kusema kila mtu aamini dini yake, aamini Mungu wake, dini zote hizi tumeletewa na pia tumezaliwa tukawakuta baba na mama zetu wanasali huko na sisi tukaendelea. Heshima itawale, amani itawale, upendo utawale kwa kila mtu na dini yake. Tuendeleze utu, haiba na tabia njema ambayo...
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume kabamba WhatsApp message zangu kwenye simu ya mkewe

    P. Diddy
  11. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

    Learn from it and move on, haukupangiwa huyo. Kuna wako umepangiwa ambae ni ubavu wako
  12. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto alipowafumania baba na mama, kumbe jirani nae anahusika, afanyaje?

    Wazazi wana makosa, lile tendo ni la faragha. Tuongeze usiri kukuza maadili ya watoto wetu.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe acha kubwatuka nonsense, nchi ina mambo mengi ya kufanya zaidi ya mpira

    Nadhani kila mtu ana utashi wake katika kuchakata maswala mbalimbali. Mathalani hili, kwako T. Stars sio kipaumbele ila kwa wengine ni kipaumbele. Timu ya Taifa inacheza siku hiyo moja tu, mbona kuna holidays, wafanyakazi wana emergency, ni sababu tosha kuwahi kutoka. Msemaji hana kosa...
  14. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejichanganya kuoa mwanamke mwenye mimba

    I Heard from a wise person 'Dont let the same bitch bite you twice' Umeshatenda wema, mzee nenda zako.
Back
Top Bottom