Recent content by tifamo lanjamwa

  1. T

    JamiiForums Tanzania Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Mtu kama anakataa kukupa mkono na wewe usimsainie sababu mkono alioukataa ndio unashika karamu.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Fyatueni watoto nitawasomesha bure
  3. T

    JamiiForums Tanzania Wakufunzi wa UDOM wafukuzwa kwenye nyumba kuwapisha mawaziri waliohamia Dodoma

    Fyuuuuuuuuuu,bashite wewe.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

    Bashite ndio habari,Hataki usipite Jf.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Majina John Heche Vs Wegesa Suguta

    John heche njoo uliweke sawa hili,UBASHITE hautakiwi popote pale.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Gwajima, Mbowe wanavyojipalia mkaa sakata la madawa ya kulevya kupitia media

    Wala huna sababu ya kutia shaka,kwani nani hajui kuwa hao jamaa ni madrug dealer?
  7. T

    JamiiForums Tanzania Makonda anapitia kipindi kigumu

    Daudi Bashite au MUNGU MTOTO.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Amos Makala anafaaa kuwa Mkuu wa Mkoa bora, nashauri aletwe Dar

    Unatutafuta watu wa mbeya eeeeeh!Makala aende wapi,koma kabisa.Huyo jamaa apelekwe mwanza kutamfaa zaidi.
  9. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inaitia hasara Serikali

    [emoji2] [emoji2]
  10. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inaitia hasara Serikali

    Hapana wanasababisha mda mwingi upotee kwa kuwashika na kuwapeleka kortini.
  11. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inaitia hasara Serikali

    Chadema
  12. T

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inaitia hasara Serikali

    Hapo tunajenga viwanda bwana,ebu tuacheni mnatuchelewesha.
  13. T

    JamiiForums Tanzania AIBU TUPU: Ubalozi wa Tanzania hapa Zimbabwe...

    Nenda ubalozi wa TANZANIA Mozambique uone madudu zaidi ya hayo ya ZIMBABWE.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mtiririko wa Elimu ya Mh. Makonda katika ngazi ya Kidato cha Nne unafifia

    Yeye ndie ameanza kuona maboriti kwa wenzie,amekuwa Mungu tena yule mama aliemtukana hana tofauti na Mama yake mzazi.Amekuwa hakimu huyu mheshimiwa,anatumia lugha ngumu kama "Ntakushughulikia,ntakufukuza, na nyingine nyingi za kuudhi.Ushauri wako peleka pia kwake huyu Mungu,natumaini MWALLA...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Ameingia Mitini, hatahudhuria Power breakfast ya Clouds FM

    [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] nini tena Mungu mtoto?
Back
Top Bottom