CHADEMA inaitia hasara Serikali

CHADEMA inaitia hasara Serikali

Intelligence inatuambia knowing an existence of a problem is one step ahead of solving the problem. Wameshawajua jinsi walivyo empty headed kwahiyo wanawachezea watakavyo. Huree the great strategist of cdm
wamekua midoli ya chadema
 
N
Serikali inatakiwa ifike mahali itambue chadema si chama cha kupambana kwa nguvu, Bali ni chama kinacho hitaji mapambano ya kisiasa zaidi, Tujikumbushe kidogo chadema inavyo itia hasara serikali.

1. Chadema imewahi kuyaweka magari ya police barabarani, ndege za kivita angani, na kuamrisha vikosi vyake vya ulinzi na usalama kufanya kufanya mazoezi, usafi, etc na mwisho vikosi vikaambiwa ukuta umaahirishwa.

2. Kuna wabunge wamewahi kukamatwa na kusafirishwa wengine kwa ndege, magari wakifikishwa Dar wanapata dhamana wanakua huru na kesi wanashinda.

3. Wakati serikali inatumia nguvu nyingi kwa lengo la kuua chadema , bila kujua wanafanya kampeni za kukipaisha chama cha demokrasia na mqendeleo bila kujua. Mfano toka aingie madarakani chadema imekua inapata umaarufu kila kukicha na kupata ofa kibao za promo bila gharama yoyote.

4. Chadema imesababisha lipumba ambaye wala siyo mwajiriwa kulipwa pesa nyingi ,kupewa ulinzi kila anako tembelea, kualikwa kwenye matukio mbalimbali etc , ili tuu chadema itengane na CUF.

Fedha ambazo zinatumika kukimbizana na chadema ,tunaomba serikali ifanyie kazi nyingine kama kuwapa wanafunzi mikopo, madawa , kuajiri walimu, madakari etc.

Mwisho nimpongeze anaye run mikakati ya chadema. big up.
Mani ahangaike na chama kilichojifia kimebaki kinasubilia makapi ya ccm. Subilini 2020 mtakabobakiwa na wabunge watatu bungeni ndo mtajua wananchi wamewachoka kwa matusi na maigizo yenu. Hamjajifunza tu 23/1
 
chadema hasa bavicha wanatakiwa waripoti central kwa tabia yao hii mbaya ya kuhangaisha wanaume wazima usiku na mchana.. haaaa
 
Sasa nimeamini ngada imeadika na bhange imepanda bei
 
Kweli akiri makalioni. serikali haifanyi hayo kuua chadema ni sehemu ya kazi yao na posho zinaliwa na hao ccm unao wasema wapo madarakani wewe upo mtaani hayo matumizi ya fedha ni kodi yako na wajomba zako, hao askari wanalipwa posho maisha yanaenda ulie tangaza ukuta ni wewe uliye ahirisha ni wewe nani mwenye hasara. Chadema ya kuhurumiwa kwa akiri kama hizi yaani mpaka sasa hamjui aliye watangazia ukuta alikuwa anatishia serikali isimdai kodi bdo aka kwama mtaburuzwa na mbowe mpaka mkome.
 
Back
Top Bottom