Recent content by tiethebase

  1. T

    JamiiForums Tanzania DC Mnyeti: Nilichangia mchango wa harusi diwani aliyehamia CCM kama ambavyo nimekuwa nikiwasaidia madiwani wengi CHADEMA

    Hivi huyu DC anatufanya.sisi watanzania si waelewa maboya au vipi? kama ni elimu tunayo zaidi ya uliyokua nayo mkikaa huko mnadanganyana kuwa sisi watu wa mitaani hatujitambui mkipika majibu tutayaamini? imekula kwako watanzania wa aina hiyo ya kufanywa maboya kwa taarifa hawapo tena. Sent from...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Serikali yakanusha Madai ya CHADEMA kwamba hakuna Viwanda Vipya awamu hii, imesajili viwanda 2,536

    Viwanda 2536 kama kweli ni viwanda vya viwango vya karne hii ya 21ajira zake zingekuwa nyingi mno kiasi kwamba tatizo la ajira hapa nchini lingepunguwa mno. Sent from my LG-F310L using JamiiForums mobile app
  3. T

    JamiiForums Tanzania Arusha Mjini: Diwani wa Kata ya Muriet, Credo Kifukwe ajiuzulu

    Kila anayejiuzulu huko Arusha msemo ni huo huo eti NAFSI INANISUTA au wananunuliwa? Sent from my LG-F310L using JamiiForums mobile app
  4. T

    JamiiForums Tanzania KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Kila yanapotokea mauaji wanatuambia uchunguzi bado unaendelea mpaka wananchi wa kibiti wote watauawa na bado watatuambia uchunguzi bado unaendelea imefikia wakati zile nguvu za kuwazibiti wapinzani zihamie kibiti maana inanisikitisha askari wetu wamekuwa mahodari wa kupambana na raia wasiokuwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Nikiwa Rais nitamtia Magufuli ndani kwa kuuza nyumba za Serikali

    Magufuli hatokuwa na jipya ilani ya chama ndiyo itakayofanya kazi atakuwa si Magufuli yule wa wizara ya ujenzi watanzania msidanganyike ukawa ndio mpango mzima
  6. T

    JamiiForums Tanzania Panya road 501 mbaroni, Kibonde amchukiza Kamanda Kova

    Huyo mtangazaji alipovamiwa na panya road baadae aliripoti kituo cha polisi? Kamanda lazima amsemee ovyo kwa sababu hana kithibitisho chochote kama yeye kweli alivamiwa
  7. T

    JamiiForums Tanzania James Rugemalira ana biashara lukuki, akimpa mtu hela si lazima iwe ya ESCROW

    Wapeni elimu hao wasiofahamikiwa serikali na wananchi hatuna tatizo na Rugemalira hata kama anamiliki pesa ya dunia nzima ni yake sisi haituhusu tatizo liko kwa Tibaijuka yeye ni mtumishi wa umma kuna sheria na kanuni zilizowekwa ukiwa mtumishi wa umma,kuna muungwana mmoja amefafanua vizuri tu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema(mb), unachokifanya ni utoto unaokushushia heshima

    Jambazi hamkamati jambazi.
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Eduardo Mondlane alikuwa ni kiongozi wa frelimo chama kilichopigania uhuru wa Msumbiji hakuwai kuwa raisi wa nchi hiyo kwani alifariki hapa jijini dar kwa bomu la barua kabla nchi yake kuwa huru.kumbukumbu nzuri
  10. T

    JamiiForums Tanzania Did they actually land on the moon ?

    Ni kweli warusi walikuwa ndio wa kwanza kupeleka chombo mwezini lakini hawakutua.Armstrong mmarekani ndio binadamu wa kwanza kutua mwezini na chombo cha apollo11 na wenzake wawili mwaka 1969.kuna tofauti hapo kwenda mwezini na kutua mwezini.
  11. T

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Ugonjwa wa 'dengue' waingia Dar es Salaam!

    mtamkumbuka Nyerere kwa wale waliokuwa na fahamu kwenye miaka ya 70 na 80 kila baada ya muda fulani mikoa yote ilikuwa ikipigwa dawa kwa ndege.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mmoja auawa kwa risasi na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi - Mataa ya Airport

    Washikaji someni habari vizuri kabla ya ku-comment.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Ujangili: Serikali yakanusha habari za Daily Mail

    Mbona serikali inachekesha yaani kukamata pembe za ndovu wakati tembo wameshauawa ndio mafanikio ya kuzuia ujangili?
  14. T

    JamiiForums Tanzania UDA yaingiza mabasi mapya 175 kuboresha huduma ya Usafiri Dar; kuongeza mengine 2,000 ifikapo Juni

    Sasa kama mmeamua kuwasaidia wananchi punguzeni nauli na pia andikeni vibao mbele na pembeni ya basi linaenda wapi konda na dereva wavae uniform safi.
  15. T

    JamiiForums Tanzania UDA yaingiza mabasi mapya 175 kuboresha huduma ya Usafiri Dar; kuongeza mengine 2,000 ifikapo Juni

    Sasa kama mmeamua kuwasaidia wananchi punguzeni nauli.
Back
Top Bottom