Vita dhidi ya Ujangili: Serikali yakanusha habari za Daily Mail

huyu nyalandu naye carolite zinamsumbua maana anaongea matapishi tu jana
Mkuu, Nyalandu ndiye kiboko ya majangili. Kagasheki alikuwa anakataa kupokea kwa mbele ila kwa nyuma anachukua. Ndo maana majangili wa uingereza walikuwa wanapinga kuondolewa kwa Kagasheki coz ni mtu wao
 
Anasema serika imekamata pembe nyingi ndani na nje ya inchi,

Ona ujinga wa nyarandu ulipo

Anaongelea ukamataji wa meno ya tembo, badala ya kuzuia maangamizi ya tembo?

Je ni kiasi gani kimepita bila kukamatwa?

Suala la msingi hapa nikuzia tembo waisuwawe yeye anaongelea meno ya tembo walio kufishwa teyari-ameokoa nini sasa??

Huyu ni mmoja wa mawaziri wasiofaa kabisa hata kujitetea pia hawezi.
 
Hata kama unalipwa na serikali kwa upuuzi huu,huwezi kuona raia wa uk ansjihusisha na meno ya tembo.kuna animal rights kwa wenzetu,mbwa na paka hata wana maisha mazuri kuliko mpiga kura wa chama chako
 
Mkuu, Nyalandu ndiye kiboko ya majangili. Kagasheki alikuwa anakataa kupokea kwa mbele ila kwa nyuma anachukua. Ndo maana majangili wa uingereza walikuwa wanapinga kuondolewa kwa Kagasheki coz ni mtu wao

Nimechukuwa kipande tu cha taarifa hiyo hebu jikumbushe hapa chini kabla hujaendeleza upotoshaji.

Yet this diplomatic nicety, at the start of a summit on how to save the world's most endangered species, will be a moment of supreme irony. For MrKikwete's regime has presided over a slaughter of elephants that is unprecedented in his country's history. Even worse, conservationists insist that many within the Tanzanian government's ranks have been willing and active accomplices in that slaughter.
 
Mkuu, Nyalandu ndiye kiboko ya majangili. Kagasheki alikuwa anakataa kupokea kwa mbele ila kwa nyuma anachukua. Ndo maana majangili wa uingereza walikuwa wanapinga kuondolewa kwa Kagasheki coz ni mtu wao
Ala kumbeeeee!!!!!!!!!!! Nakuaminia Lizaboni.
 
Lizaboni Nyuzi kama hizi sio saizi yako aiasee.We Level za uchangiaji wako huishiaga kuitukana CHADEMA tu na kulipwa Buku 7.Huku tuachie sisi.
 
Last edited by a moderator:
Mmh, wahusika mumo mumo, ndo maana kupata taarifa za vitalu za maana majanga. Tushamsoma siku meeeeengi.
 
Nimechukuwa kipande tu cha taarifa hiyo hebu jikumbushe hapa chini kabla hujaendeleza upotoshaji.

adolay, don't waste your time. The guy can't speak English, unless he responds to you with a support from his cohorts.
You can read his posts and discover that, his is being used. If he had a bit of brains, he could be able to differentiate between matters of national interests and those of political mileage.
 
Kwa nini JAMIIFORUM isiwe extension ya serikali ili kieleweke?

Baada ya JF kubandika habari siku ya Jumamosi kuelezea yatayoandikwa na kazeti la Jumapili la Mail on Sunday...kuanzia mchana kulifanyika kikao Ikulu kujadili namna ya ku control hii damage

sasa kumbe kuna mipango ya kuzipa kampuni kubwa za PR za UK tenda ili kusafisha jina la Tanzania

Hawa watu wanajua wapo wa Tanzania huko diaspora wangeweza kutoa usirikiano wa karibu namna ya kulitatua hili tatizo lakini NYALANDU & CO wameona bora wawape hayo mabilioni PR companies za huko kwa waungereza sasa.

Kwa nini serikali haitaki ku wa engage wana diaspora ili ufumbuzi upatikane ? This is a Tanzanian problem na wa Tanzania pekee ndio wangeweza kuwa na solution.

Sasa kama nilivyotabiri kwenye ule uzi mwingine:

SALVA JANA KATOA TAARIFA ILIYOJAA MATUSI NA KEJELI

LEO NYALANDU AMEAMUA KUTOA PRES RELEASE YAKE LEO KUJITETEA

Majina, na namna ya kumaliza hili tatizo walishapewa na aliyekuwa waziri (KAGASHEKI) sasa how hard is it kuyafanyia kazi aliyo recommend kagasheki?

Halfu Pinda mbona yuko kimya mno?


zaidi soma hapa:

_____________________________________


Govt fury over UK poaching allegation



nyalandu.jpg

Dar es Salaam. The government was in damage control mode yesterday to protect its international image following a damning report on elephant slaughter that sensationally linked poaching to President Jakaya Kikwete.

President Kikwete was said to be “annoyed and furious” with the report by Britain’s largest selling newspaper –Daily Mail – that appeared to blame his administration for complicity in the poaching and illegal ivory trade whose annual global value is estimated at about Sh16 trillion.

Sources in government told The Citizen that the Head of State held an emergency meeting with officials of relevant arms of the government for the better part of Sunday to explore an appropriate response to the report.

Authorities in Dar es Salaam were concerned about the effect of the publication that came less than 72 hours before President Kikwete was to leave for the UK to attend a major anti-poaching conference.

According to our sources, Natural Resources and Tourism minister Lazaro Nyalandu, who was already at the Julius Nyerere International Airport ready to fly to London, was instructed to make a cancellation in order to attend the Sunday meeting at the State House.

The Citizen also learnt that the government through its High Commission in London has engaged the services of a top public relations spin-doctor to handle emerging queries and set the record straight with the UK government ahead of the crucial Thursday conference.

Other reports indicates that the ruling Chama Cha Mapinduzi, which is also implicated in the Daily Mail story, was most likely to launch a multi-million dollar libel claim against the UK newspaper in efforts to clear its own name.

Yesterday, Mr Nyalandu, who addressed a press conference in a Dar es Salaam, condemned the Daily Mail report as “falsehoods and propaganda levelled against Tanzania and its leadership.”

He said the publication of the report was timed to spoil Tanzania’s international standing during the conference and also pour scorn at local efforts to combat poaching.

“The facts in the paper do not reflect the true picture of the war against poaching inside Tanzania,” he stressed. He said the government will, however, not be detracted

According to the minister, Tanzania has seized about 20 tonnes of illegal ivory over the last three year, 12.2 tonnes of them in 2013 alone. He noted that this was clearly more than the 15.2 tonnes of the illegal merchandise netted outside the country in the same period.

“During the same period, we managed to arrest 322 suspects, including a Briton and Chinese national who were found with illegal ivory worth over $8 million (Sh13.3 billion),” he said, disputing the claim that the government was doing nothing.

He said President Kikwete will lead a powerful Tanzanian delegation to the London meeting. “This meeting is important, coming at this time when there is a need for urgent international action to deepen the war against poaching,’ said the minister.

President Kikwete will leave tonight for London and the ministry has prepared an anti-poaching poster that he will unveil at the JNIA before the trip to reinforce his commitment to fighting the poaching syndicate.

The meeting will be attended by some 50 heads of state and other invited dignitaries. The conference is being hosted by the British government at the behest of Prince Charles and his son, Prince William.

The summit will explore the ways to save endangered species, especially the so called big-five around the world, with Africa accounting for most of the remaining elephants and rhinos.

According to the Daily Mail story, President Kikwete’s government was abetting poaching by either refusing to act against perpetrators or looking the other way as people close to senior state officials and CCM were implicated. The story even claimed that an unnamed relative of the President was involved in the illegal ivory business.

The newspaper suggested it would be inappropriate for Prince Charles and the UK Premier David Cameron to host and shake hands with the president of a country whose government was deeply implicated in the same war they were intending to fight.

Govt fury over UK poaching allegation - National - thecitizen.co.tz

kumbe hizi taarifa za Daily Mail zilkuwa ni damage tu?
 
Serikali haina nia ya dhati kutokomeza ujangili nchini. Majina ya vigogo wanaofanya biashara ya meno wanayo na wanayafumbia macho. Watu wengi hawajui nini kilikuwa nyuma ya pazia ya operesheni tokomeza hadi lengo kuu likapindishwa. Wengi wana mengi moyoni mda ukifika yatawekwa dhahiri!
 
Mmh, wahusika mumo mumo, ndo maana kupata taarifa za vitalu za maana majanga. Tushamsoma siku meeeeengi.

Waingereza wameumizwa sana na Mtu wao kukamatwa na Pembe za ndovu zenye thamani ya dola 911,500 kwa hiyo wanachojaribu kufanya ni kumwaga mboga baada ya Tanzania kumwaga Ugali.
 
Serikali haina nia ya dhati kutokomeza ujangili nchini. Majina ya vigogo wanaofanya biashara ya meno wanayo na wanayafumbia macho. Watu wengi hawajui nini kilikuwa nyuma ya pazia ya operesheni tokomeza hadi lengo kuu likapindishwa. Wengi wana mengi moyoni mda ukifika yatawekwa dhahiri!

huwezi ukajua kitu ukasubiri eti siku ikifika , lini itafika? hizo ni dalili kuwa kuna hakuna ukweli wowote
 
adolay, don't waste your time. The guy can't speak English, unless he responds to you with a support from his cohorts.
You can read his posts and discover that, his is being used. If he had a bit of brains, he could be able to differentiate between matters of national interests and those of political mileage.

wewe unayejifanya unajua kithungu, hebu tuambie kwenye mandishi mekundu, ndiyo umeandika nini?
 
Nimechukuwa kipande tu cha taarifa hiyo hebu jikumbushe hapa chini kabla hujaendeleza upotoshaji.

Mkuu, taarifa ya gazeti la Daily Mail imeandikwa na kufadhiliwa na mtandao wa majangili. kumbuka wakati huu wa Nyalandu, Mwingereza mmoja amenyakwa kwa kujihusisha na biashara ya meno ya Tembo na ndo maana wanatokwa povu. Si kila kinachoandikwa na wazungu ni sahihi, vinginevyo utakuwa mtumwa wa akili wewe
 
wazir kwel huyu n mzgo et mafanikio ni kukamata pembe sasa hao tembo walokufa?hii miviongozi haina uchungu na hii nchi hata kidogo Dail Mail wamesema ukwel mtupu
 
Madai ya Daily Mail ni kuwa NYARA karibu zote zinazotoka nchini zilikamatwa nje ya nchi badala ya ndani.
Mheshimiwa Waziri kuonesha kuwa Daily Mail ni wazushi Katoa takwimu zifuatazo:
1.Katika miaka mitatu kuanzia 2010 hadi mwaka jana , jmla ya kilo19,943 sawa na tani 20 za meno ya tembo zilikamatwa nchini ambapo watuhumiwa 322 walikamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria.
2. tani 12.2 za meno ya Tembo zilikamatwa nchni mwaka jana pekee ambapo watuhumiwa 145 walitiwa mbaroni akiwamo raia wa Uingereza.

Nani mkweli katika hili Daily Mail au Waziri Nyalandu? Tuache kupiga mipasho humu jf kwa sababu tu eti habari imaeandikwa na chombo cha nje kwani inawezekana kabisa wametumiwa kuandika uzushi ili kuifedhehesha serikali. Nani hajui mahusiano kati ya Chama kinachoongoza uingerereza na baadhi ya vyama vya upinzani hapa nchini na hasa ukizingatia kuwa vyma hivyo vimepigwa mweleka na chama tawala kwenye uchaguzi mdogo wa Madiwani. Mimi naamini Dail Mail wametumiwa na Wafuasi wa CHADEMA walioko Uingereza kuifedhehesha serikali yetu. Ni kweli kuwa tatizo la ujangili ni kubwa siyo Tanzania tu bali nchi nyingi za kiafrika, lakini siyo sahihi kutoa taarifa za kizushi kiasi hiki.


Akili ya MBUNI hii!

Yaani kwa akili yako unafikiri Uingereza inashindwa kunufaika na CCM kwa hiyo inasubiri chama cha upinzani kiingie madarakani ili ndo inufaike?Kwa uadilifu gani iliyonayo CCM?Kama mkuu wa nchi ameweza kuhongwa suti ili aachie hifadhi kwa wawekezaji,wana haja gani ya kusubiria miongo na miongo kushinikiza serikali ya upinzani iingie madarakani ili wanufaike?

If you can get free milk why keeping a cow?

Halafu acha kujidanganya na takwimu!Hivi unajuaje kwamba takwimu ni sahihi au idadi ya tani ya meno ya tembo iliyokamatwa na idadi ya watu waliokamatwa inawiana na uhalisia?

Maana yaweza ikawa takwimu hiyo ni tone tu la maji kwenye bahari?

Ni aibu kwa Taifa letu kuwa na kiongozi wa namna hii,

NI AIBU!
 
Mbona serikali inachekesha yaani kukamata pembe za ndovu wakati tembo wameshauawa ndio mafanikio ya kuzuia ujangili?
 
Back
Top Bottom