tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
sauti inapita nani kakuambia haipiti,na bendera inapepea who said haipepei ni physics gani unatumia?
kama inapepea si useme kwanini inapepea? Tupo hapa kujifunza!!
sauti inapita nani kakuambia haipiti,na bendera inapepea who said haipepei ni physics gani unatumia?
kama inapepea si useme kwanini inapepea? Tupo hapa kujifunza!!
inapepea sio kwasababu kuna upepo inapepea kwasababu ilitikiswa na kuipa nguvu ya kupepea na hakuna pressure wala air resistance za kuzuia kutopepea therefore it can wave for ages unless other energy is there to stop the flapping umeelewa
afadhali umewaka wazi, watu wengi wanapenda kukubali tuu mambo wanayosoma bila kutumia akili zao za kuzaliwa kufikiri kwa kina. Wewe angalia tuu kompyuta zenyewe za miaka ya sitini zilikuwa kubwa kama nyumba na zilikuwa hazina computing power kama zilizopo kwenye smartphone, sasa unafikiri walikuwa na hiyo tekinolojia ya kupelela mtu mwezini? Kitu kidogo tu kama ku-print document ambacho kinachukua sekunde kilichukua days miaka ile.
Umezumzia suala la mionzi (radiation), hivi kweli watu wanaelewa kiasi cha mionzi kilichopo huko angani katika umbali ule na jinsi ambavyo ingeweza ku-ionize delicate elecronic circuits za shuttle, hata kama vilikuwa na radiation shield, uwezekano wakuharibika ulikuwa mkubwa. Kumbuka tunaongelea miaka ya sitini hapa.
JF inanipanua upeo mno zaid ya shule kunanifanya nisumbue vilaza wezangu kitaa maana wao watu wa kukariri tu mi ndo naonekana msomi sasa na hii kesho naamka nayo kijiwen
Tatizo sio kufika bali ni documentary zao ndiyo zinawaumbua na kutufanya tusiamini wanachotueleza,mimi binafsi sikubaliani nao kuwa walifanikiwa kutua mwezini,kwa sababu vitu wanavyoonyesha kwenye documentary zao baada ya kurudi vinapingana na sayansi tunayoijua
mfano
1-Video zao zinaonyesha maastronauts wamesimama mwezini huku wameshikilia bendera ya marekani na inapepea hewani -hii kitu haingii akilini kwa bendera kupepea mwezini kwani hakuna hewa
2-.kwa technolojia ya kipindi hicho kama ukipiga picha basi lazima juu ya picha hiyo utakuta kuna alama ya msalaba(target) 'juu ya picha' ..sasa kwenye picha zao ule msalaba(target) umefunikwa au unaonekana nusu umefunikwa na picha yenyewe kitu ambacho hakingii akilini licha ya kutowezekana kabisa
3.-Muelekeo wa wa vivuli na jinsi hao maastronauts walivyokuwa wanamoove ni vitu viwili tofauti ambavyo haviendani
pana jiwe lina alama c ya kuchora si crake, background inatofautiana mahal walipo ktk pcha
Sorry Kama kuna confunsion yoyote nimeleta but ninachofahamu kwa physics ndogo niliyopitia kuna kitu kinaitwa space
Space ni approximately vacuum
Katika vacuum hakuna movement ya hewa
Pia sauti haiwezi kupita Hapo
Na mwezi upo katika space
Baada ya kumalizia atmosphere na layer nyingine Ndio tunakuta space
Kwa hiyo Kama bendera mlivoiona inapepea Hapo juu sasa inakuwa utata kwamba ipo katika space au physics na practical zote ni uongo
Pia sauti isingeweza kusikika katika recording yake
Pia Amstrong na wenzake walifunga camera katika paji la uso means ilirekodi eneo ambalo steps za miguu hazijafika but kwa Yule wa kwanza kuland katika moon camera yake ilionesha kuna footprints je kuna wengine walishuka kabla yake Hapo?
Ni hayo tuu
Leteni Maoni tubadilishane fikra
KWa akili ya wajinga wengi kwamba ktk vacuum na less gravitation pull benera haiwezi pepea.Hawajui Newtonians kuweka Laws zinamajibu."Inertia". Hawajajiuliza km nguvu aliyotumia Amstrong kuishusha bendera ingeitupa bendera umbali gani na kwa nguvu kiasi gani,na mara bendera itakapojiachia na kufika mwisho na kubounce kwa ile kasi haitorudi tena kwa kasi na kuishi kufanya vitu km swing.Na kwa vile haina uzito wa kuanguka na hivyo itapepea tuu.Kutokana na clip na documdntary nlzopitia. Nimekuwa fifty fifty na kile nnachofundishwa darasan kwamba marekan ndo wa kwanza kupeleka mtu mwezini kwa kutumia apolo eleven. Cha kushangaza katika documemtary moja kulkuwepo na msemaji mkuu wa nasa na alishindwa kupangua allegations zlizoelekezwa kwa nasa kwamba hamna mtu alietua ktk mwez hiyo 1968. Naomba maoni yenu wadau.
Hahaaaaaa ................
inapepea sio kwasababu kuna upepo inapepea kwasababu ilitikiswa na kuipa nguvu ya kupepea na hakuna pressure wala air resistance za kuzuia kutopepea therefore it can wave for ages unless other energy is there to stop the flapping umeelewa