this is all about business idea for telecommunication companies as a tactic to reduce the cost of company's adverts and increase sales at 53%
also i have a business opportunity for banking services companies so as to expand market, increase sales as well as win competitors
contact me through...
Email tafadhali mwana JF nmefungua attachment yako haifunguki km inawezekana ntumie ktk email yangu mkuu michaelkomba48@yahoo.com
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Natafuta kampuni ambayo inaweza kununua idea/ wazo la kibiashara katika kampuni yoyote ya simu au benk. Business oppotunity hii ni kwa makubaliano moja kati ya haya
1.kununua wazo au idea hii.
2.kuwa sehemu ya wafanyakazi katika kampuni hiyo kwani nina vigezo vyote vya kuajiliwa hususani...
TZ tujipangeeee ukiona rais anamteua MWIGULU kua naib wazir bila wasiwasi makatibu, wakurugenzi na wengineo tusio waona itakua tabu tupu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sasa kw akili yako ulitaka watu wanaojitambua waungane na ujingaaaaa? CCM mnastahili kuzomewa na hata kutukanwa na ili mjue nyinyi mmewachosha watanzania endeleeni kwenda kwenye midahalo mtapata majibu yenu hata msiogope ndo uvumilivu wa kisiasa unatakiwa NENDENI MKAJIPIME MPATE KUJIELEWA
Sent...
Unadhambi sana na huoni aibu kusema haya? Nini wana bavicha hasa wale wa chini wanaechangia pesa ata za ww kwenda huko uganada wamefaidika na michango yao??? Una character za UVCCM pesa ya wana BAVICHA imekufikisha hapo lakn hawajafaidika na michango yao af leo unaleta story hizi huu ni...
Shemeji ni tusiiiii?? Yeyusha mawazo ayo yamegandaaaa!! Kwani kaka wa mama salma anamuitaje kikwete? Inamaana akiwa raisi ushemeji unafutika?? Hawa walimu mama salma ni mwenzao ni sawa na dada yao sasa wakimuita JK shemeji ni tusiii? _ dhambiii?? Huku hakukufai nenda insta au FB
Sent from my...
Hatuwezi kuwa tunapoteza muda humu JF kujadili hoja ziso mashiko wala tija kw taifa na maendeleo ya vjana na hata kw vizazi vijavyo!
Huwezi kuwa kiboko katika mto uliokauka, ccm ni mto uliokauka huyo kiboko siatakula watu?? Na rungwe hawatakua tayar kuishi na kiboko ili awatafune WATAMKIMBIZA...
Bt kuna maneno anakosea tususifu tuu hata kukosoa pia ni vibaya kuwanyanyapaa na kuwatenga waathilika wa VVU kakosea sana kusema asiye piga makofi ana HIV its not good
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hapo kwenye wimbo wa R & B kiukweli laana ya msanii mzuri wa iyo kategory BELLE 9 haitawaacha waandaaji wa tuzo hizi na msisingizie kura kat nyie ndo mnapanga mnatupiga changa la macho its not fea sijapenda matokeo ya iyo category
Ni kwel hapa ni pa kujifunza mambo ila ww hujifunzi unahisi huku ni FB. Acha kujiburudisha apa JF leta strong argument bhana yana hata kujua jina la muungano na muundo wa selikal uliopo havifanan hii nayo kujua inaitaji nguvu?? Jifue acha ushabik wa vyama njoo na kichwa chako sio uje na mavyama...
Kwa kwel kijana mwenzetu uko nyuma we huoni km muundo wa selikali uliopo ni wa shirikisho ispokua umepewa jina la muungano?? Someni vitabu + uelewa wako kisha leta hija sio kubwabwaja , soma aina za miungano na miundo yake.. We unafikir nyerere kusema muundo wetu ni wapekee alikua hajui km...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.