Habari ya mchana mabibi na mabwana
Natafuta forum / group la wamiliki wa vyombo vya Moto aina ya Subaru.
Naomba link niweze kujifunza matunzo ,engine oil, garage,genuine parts etc
Asanteni
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua ubora na ubaya wa magari ya aina ya Spacio,na pia natakiwa kuzingatia vitu gani vya msingi?
Asanteni kwa ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah hivi waanzilishi wa huu mradi hawakufikiria kuwa na mbadala wa usafiri kwa ruti husika endapo itatokea hitilafu au usumbufu wa aina yoyote kwenye usafiri huu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.