Recent content by Throne Heir

  1. T

    Nina zaidi ya kilo 100 na nina umri wa miaka 19: Nifanyeje?

    Pole Unahitaji Msaada wa Kitabibu, Nenda hospitali sahihi unaweza kupata Msaada.
  2. T

    Hakuna Mwisho wa Dunia

    Ni wapi kuna uthibitisho kuwa hizi sayari zitafikia mwisho wake..Maandiko yote yanazungumzia uhai ndio utakao kuwa na Mwisho. Kwa Mfano Uislamu unasema "Kila Nafsi itaonja Umauti". Hapa Kinachotajwa ni nafsi ambayo ina uhai na Dunia na Sayari zingine si sehemu ya vitu au viumbe vyenye nafsi. Kwa...
  3. T

    Hakuna Mwisho wa Dunia

    Kwa Kipindi Kirefu binadamu wameishi kwenye Uelewa hafifu wa Kuhusu mwisho wa Dunia, hii inaweza kuwa ni kwa makusudi au kwa bahati mbaya. Kuhusu mwanzo na mwisho wa DUnia asilimia kubwa ya wanadamu uelewa wao kuhusu chanzo cha na asili ya Dunia ni kutokana na vitabu vitakatifu kama Quran na...
  4. T

    NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

    Dunia ni kweli na Kila kitu chake. Kuthibitisha hili kila kitu kimeumbwa kwa mpangilio na hesabu maalum hakuna kilichokua kipo Kipo tu bila maana mfano mdogo ni Dunia inazunguka kwenye muimili na kulizunguka Jua bila Kukosea miaka kwa Miaka. Bt the truth is maisha ya mwanadamu ni vanity over...
  5. T

    GE2020 Huyu ni msafisha viatu kweli au ana kazi nyingine maalum? Amenichambulia siasa za Tanzania na kuahidi Tundu Lissu kushindwa vibaya

    Jf kuna Ugoro mwingi, ila wewe Richard ni mwenyekiti wa Waandika Ugoro hapa JF. Wewe ni zwazwaaa
  6. T

    Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

    Wale wakushukuru kila kitu. Nawasubiri mumshukuru kwa Kuwaletea tetemeko
  7. T

    Utumishi, Wizara ya Fedha na TAKUKURU kwanini mnaruhusu watumishi wa umma kukopea mishahara yao hadi Senti ya mwisho? Hamuoni kuwa inachangia Rushwa?

    Mtumishi wa Umma anamatatizo kibao hapo alipo anatembelea Kucha.Nawewe unaetaka asikopeshwe,unamtaka nini mtu huyu?Mind your own salary
  8. T

    Miaka sita bila kupanda daraja

    Ipendeni Nchi yenu,acheni kutanguliza maslahi binafsi mbele. Muda ukifika Mtapandishwa madaraja na kuongezewa Mishahara. Sasa hivi wote tuijenge nchi yetu Tanzania. Tano tena
  9. T

    TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Pumzika kwa Amani mzee wetu Mzee Mkapa.
  10. T

    GE2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020

    Gwajizo Gwaji the boy umeshindwa kujiombea ushinde kura za maoni. Sipati picha umeandaa uongo gani kudanganya kondoo zako Jpili hii.
  11. T

    Wazee wa porini nipe ushauri

    Unafanya research survey ya mtandao unaokamata vijijini sio now una collect data kupitia uzi
Back
Top Bottom