NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

NIMETHIBITISHA: Dunia haipo, ni unaota tu!

Mtoa mada umeniacha hapo kwenye conclusion unaposema UNAUNGANA NA MTOA MADA..Yupi na wewe ndio uliyeleta? Au ume copy sehemu?
Ameikopi mahali itakuwa; au ndiyo alikuwa anatumiwa hivyo bila kujijua. Duh! Hataree
 
Pumba, although sjasoma post lakini heading ni ujinga.
 
Dunia ni kweli na Kila kitu chake. Kuthibitisha hili kila kitu kimeumbwa kwa mpangilio na hesabu maalum hakuna kilichokua kipo Kipo tu bila maana mfano mdogo ni Dunia inazunguka kwenye muimili na kulizunguka Jua bila Kukosea miaka kwa Miaka. Bt the truth is maisha ya mwanadamu ni vanity over vanity.
 
Ni kama mimi nilivyothibitisha kuwa umekufa ila hujijui tu, waliokufa hawajijua kama wamekufa ila tulishakuzika kitambo[emoji23][emoji23]
 
the re is no future, no body can see it but remember(aproved)
 
Nilivyo ona tu kichwa cha mada yako nikajua kabisa huwezi kuthibitisha ulicho kiandika.

Yaani ni ujinga ulioje useme wewe haupo wakati upo.
Kama upo basi utakuwepo. Jee una guarantee kuwa huo mwili wako utakuwepo miaka 200 ijayo? Kama huna uwezo wa kujadili tunayo yajadili ni busara kusoma na kimya.
 
Kama upo basi utakuwepo. Jee una guarantee kuwa huo mwili wako utakuwepo miaka 200 ijayo? Kama huna uwezo wa kujadili tunayo yajadili ni busara kusoma na kimya.
Wewe upo au haupo ? Twende kielimu na tafakari za ndani ?

Mimi sina Guarentee wala wewe, sababu imeandikwa vitabuni ya kuwa Wastani ya umri wa kuishi wa watu wa umma huu ni miaka 70. Huu utaratibu ushapangwa na Mola muumba.
 
Mfano; Rangi ya ngozi ya kinyonga hubadili kutokana mazingira, maji pia hayana hali halisi, maji ni kimiminika yakiwa kwenye hali ya baridi huganda na kuwa jiwe la barafu, kwenye moto huwa mvuke, maji hayana hali halisi ya kweli. Kweli haibarishwi na jua, mvua, baridi wala moto. Kweli ipo kihalisia kabla, sasa na milele.
Laiti kama ungekuwa unasoma na kutafakari unachokiandika bila shaka ungefuta uzi na kujidharau. Unapo sema maji kuwa ni kimiminika tayari umeshaonyesha uhalisi wa maji ya kuwa ni kimiminika, hizo nyingine ni mabadiliko ya kitu hicho kulingana na hali fulani na uhalisia wa maji ni ule ambao huyafanya maji yakawa si Ugali wala si Wali.

Kwahiyo nikisema nichambue kila ulichokiandika hakuna hoja zaidi ya ndoto za alinacha kufurahisha nafsi yako tu ili siku iende.
 
Sisi pia tuna nafsi mbili, nafsi ya kweli na nafsi ya uongo. Mimi nina miaka 60, miaka 60 iliyopita nilikuwa mtoto mchanga nilikuwananyonya, nimepitia hali mbalimbali za mabadiriko mtoto mchanga, mtoto mkubwa, kijana mdogo, kijana mkubwa, mtu mzima na sasa mzee. Ukweli siko kama zamani hivyo mabadili ya mwili na upevu wa akili vinaashiria nafsi yangu isiyo kweli kwani na iko siku nitakuwa maiti na baada ya muda mwili wangu utaoza na kuwa mavumbi.
Nikikwambia una matatizo ya akili bila shaka nakupa stahiki yako. Inaonekana hata maana ya nafsi huijui, nafsi ni wewe hasa, na maana ya uongo ni kinyume na hali halisi, yaani Uongo ni kitu kisicho halisi. Wewe una nafsi moja iliyopitia hatua kadhaa, yaani muda. Ndiyo maana wewe ulikuwa mtoto na umezeeka ila ni wewe, na kama ungekuwa si halisi na ni uongo, basi hata ulipo kuwa mtoto haukuwa wa kweli, na hili halipo.
 
Back
Top Bottom