Recent content by Threezer

  1. Threezer

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba mnieleweshe. Nimechukua mkopo nmb mwezi wa tatu huu 20ml nimekatwa 600000 je ni haki?
  2. Threezer

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuzuia maambukiizi ya UKIMWI na itumike muda gani kwa mtu aliyebakwa?

    Unatakiwa kwenda angaza kuna drip wanakupa kabla ya masaa 48
  3. Threezer

    JamiiForums Tanzania Mch. Dr. Gwajima atoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi

    Kasemaje??
  4. Threezer

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya wanavyuo kuelekea nyumbani kwa Lowassa

    Kazi ipo
  5. Threezer

    JamiiForums Tanzania Eh Mungu muondole mtoto huyu maumivu!!

    Ee mungu muondolee maumivu
  6. Threezer

    JamiiForums Tanzania Prof. Imbrahim lipumba achafua hali ya hewa sasa hivi bungeni

    sasa hivi bungeni wajumbe wote wa upinzani wametoka nnje ya Bunge kwaajili ya malumbano ya serikali mbili na tatu........
  7. Threezer

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Prof Ibrahim Lipumba leo kachafua hali ya hewa bungeni. anasema kumbe ccm ilikuwa imeshapanga serikali 2? sasa imekuwaje mmetuhita tena mkatumia mabilioni yote haya na tayari mlikuwa mmesha panga serikali 2. kweli bunge limewaka moto leoooo
  8. Threezer

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kichwa baada ya kujifungua

    kuchuliwa maji ukiwa mzazi kunafaida gani?
  9. Threezer

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya kichwa baada ya kujifungua

    kunauwezekana wa mtu aliyefanyiwa operation ya uzazi kuchuliwa maji tumbon?
  10. Threezer

    JamiiForums Tanzania Swali kwa ma-specialist wa mambo ya UZAZI

    miezi mingapi ndo mwisho wa kufanya mapenzi wakati kama ni mjamzito?
  11. Threezer

    JamiiForums Tanzania Swali kwa ma-specialist wa mambo ya UZAZI

    mimi ni mja mzito. inawezekana ikifika miezi nane na nusu kufanyiwa operation? maana mimi nitafanyiwa operation. je kunamadhara yoyote yale
  12. Threezer

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic) Featured

    je kwa wamama wajawazito wanarushusiwa kutumia vitungu swahumu?
  13. Threezer

    JamiiForums Tanzania Natafuta Gari la kununua

    Natafuta duka linazouza sofa kwa bei nzuri arusha au dar
  14. Threezer

    JamiiForums Tanzania Natafuta Gari la kununua

    Natafuta duka linazo uza zofa kwa bei rahisi arusha au dar. Emported sofa
  15. Threezer

    JamiiForums Tanzania Nape ashangilia ushindi wa CHADEMA?

    nimepata taarifa sioi ameshasain matokeo
Back
Top Bottom