Prof. Imbrahim lipumba achafua hali ya hewa sasa hivi bungeni

Prof. Imbrahim lipumba achafua hali ya hewa sasa hivi bungeni

Threezer

Member
Joined
Jul 9, 2009
Posts
16
Reaction score
2
sasa hivi bungeni wajumbe wote wa upinzani wametoka nnje ya Bunge kwaajili ya malumbano ya serikali mbili na tatu........
 
Nilijua haya yatatokea2 maana pale bungeni ccm hawataki katiba mpya,ndio maana rais amejaza makada wa chama chake,
 
Kwa wale wanaoangalia TV tafadhali tupeni taarifa kamili ilikuwaje.....
 
SSm wanajitapa kwa viejembe badala ya kutuambia ni kwanini wanashabikia serikali 2!
 
Unapoanzisha thread amini kwamba tupo ambao hatujaona chochote tunategemea thread yako tupate habari kamili
 
sasa hivi bungeni wajumbe wote wa upinzani wametoka nnje ya Bunge kwaajili ya malumbano ya serikali mbili na tatu........

Sema Lukuvi kafanya nini siyo unakuja na habari nusu au na wewe umesikia ndo unataka kutoka kwetu?
 
hata mm nimeshuhudia ilo na kwa wale ambao hamjaona chekini habari mida ya saa 2. Nampa sapoti asilimia 100. Serekali tatu ndio mpango mzima na rais mmoja yote yanawezekana ni nia tu!
 
Maccm yanafikiri nchi hii ni mali yao? Wananchi tumeishajua janja yao hatudanganyiki. Hongera UKAWA TUPO NANYI.
 
Maccm yanafikiri nchi hii ni mali yao? Wananchi tumeishajua janja yao hatudanganyiki. Hongera UKAWA TUPO NANYI.

wengine tuko mbali na vyombo vya habar kumetokea nin huko dodoma mkuu
 
Ccm kwanza ndio vinara wa kusambaza udini, halafu wanasema ni chadema hili ndilo alolifanya Lukuvi kwenda kanisani kwa niaba ya Wazir Mkuu na kusema kuwa Jeshi litachukua nchi kama kutakuwa na serikali 3, na Zanzibar ikipata nchi yake watajitangaza dola ya kiislamu.


Badala yake Askofu akaomba muongozo na akasema yafutayo:

Kama ni hivo ni bora tuunge mkono kuundwa kwa Serikali moja

My:Zanzibar kwanza tukubali kuwa ni nchi na nchi inakuwa na mambo yake kutakuwa na ubaya gani ikijitangaza inavotaka cha muhimu ni kuiombea waishi kwa amani tu.
 
ma ccm hayawezi kukubali tanganyika kuwa dola maana wanajua mikoa itapunguzwa pamoja na viti vya wabunge vitapunguzwa kwa maana ccm haitapa viti. Miaka 50 sasa ni wakati mwingine huu hapa nikuwa na 3 au kama vp kero zishughulikie na waache mafuta yawe ya wa znz maana ndo ishu..
 
jengo lile limejengwa kwa ajili ya majadiliano, sio kuingia na kutoka ukiwa umezira.

vyama vya upinzni vinakuwa kama vinaongozwa na vichwa vya wendawazimu!

no head in the brain..
 
Nimesoma post zote hizi lakini sijaelewa kitu.
 
Back
Top Bottom